Wanaondoka liniWiki moja tu kama mwaka
Hapanaaa.ilibid ni stick kwenye utaratib wa kwanza nikaweka msisitizo kwa vitendo wala sio manenoUlimpandishia sauti juu
Ngoja wanao waumwe mbu wafe kwa malaria akili itakukaa sawaNahofia watajisikia vibaya
Hajitambui huyu ngoja haijui malaria inauaKwanini watoto walale sebuleni
tena wakilala sebuleni ndio watakeleka wataondoka mapema mi kwangu chumba cha wageni sijakifanya luxury kabisa kuna kitanda tu cha tano kwa sita raha utazipata kwako sijui utake kochi na ACKosa la kwanza ni kuwahamishia wanao sebuleni bila kufahamu hao wageni watakaa hapo kwa muda gani. Wao wangefikia sebuleni,watoto wakabaki room kwao.
tena wakilala sebuleni ndio watakeleka wataondoka mapema mi kwangu chumba cha wageni sijakifanya luxury kabisa kuna kitanda tu cha tano kwa sita raha utazipata kwako sijui utake kochi na AC
Naogopa Ila naskilizia nahisi nitasema ,nimekosa uhuru na heshima kwangu.usiwachekee mwambie mke wako wanatakiwa wawe watii, au waondoke mara moja.
mimi dogo alianza kumchukulia poa shemeji yake, nikawambia dogo huyo siyo mke wako ni mke wangu mimi tu.
Unashauri ni niniSafiii...mi kwakwel najionaga mkoloni ila fresh tu.kwangu utaishi kwa kufuata taratibu zangu only
Sio kutawaliwa unamwambia dogo shuka anakataa , utafanyaje? Ukimaind huenda ukaziliwa chakula.Inakuaje unatawaliwa nyumbani kwako.
Brilliant idea , ila nani nitamisiChomoa kadi king'amuzi.
kwako hutakiwi kuishi hivyo bana, amani pekee ambayo utaridhika kuipoteza ukiwa kwako ni ile inayochukuliwa na mamlaka, sio mtu mmoja, kikundi cha watu, au mnyama.Naogopa Ila naskilizia nahisi nitasema ,nimekosa uhuru na heshima kwangu.