mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,642
- 3,653
Weka passwords channel zote isipokua waachie free ile channel yenye vipindi vya ubongo kids.Chomoa kadi king'amuzi.
Weka passwords channel zote isipokua waachie free ile channel yenye vipindi vya ubongo kids.Chomoa kadi king'amuzi.
Waliondoka nashukuru ila kwa kweli sikuwasindikiza hata. Kuna mmoja juzi eti anatakarudi nimuajili kwenye salon yangu nmegoma.Pole sana Mkuu. Mtoto wa shemeji yangu kaja kukaa kwangu ili asome. Eti naye akajifanya "mwenye nyumba". Hanisalimii asubuhi wala mchana wala jioni. Siku moja anarudi toka shule alikuta vitu vyake vipo barabarani. Akapitilizia huko huko. Ila wewe wavumilie tu.
Ukarimu tuhao kabila gani. Ila na wewe ni Bushoke, utatesaje watoto wako kwa ajili ya mashemeji? Jiangalie. Waambie waje kwangu waone asubuhi wanaondoka.
Wengine tukipiga mtu anaweza zimia.Mimi ni mimi hua siwezagi kuvumilia ujinga eti kisa wageni watanionaje huyo dogo ninge mtwanga banzi ange tii amri kama mmbwa mkorofi anapo kutana na nondo ya kichwa
Msaidie mkuu, huwa wanaogopa kuumbuliwa kesho. Huyu ndo muathirika. Kajificha kwenye C&PKama copy na paste usituchoshe.

Aku! Mpaka aje apate wageni Ni leo? 😄😄Msaidie mkuu, huwa wanaogopa kuumbuliwa kesho. Huyu ndo muathirika. Kajificha kwenye C&P
Msaada wako plz!