Domo Kaya
JF-Expert Member
- May 29, 2007
- 531
- 59
Mimi nina swali naomba kuuliza jamani ndugu zangu, hivi hili tatizo la NGUVU ZA KIUME ni deal sana hapa Tanzania? Maana kila tangazo la WAGANGA huwezi kukosa neno "TUNATIBU NGUVU ZA KIUME", Wamasai nao wamekuja na dawa za kuongeza nguvu za kiume, Sijawahi kuona wakisema TUNATIBU NGUVU ZA KIKE,
Nimeona nililete hili mbele yenu ili tuweze kujadili, hivi nguvu za kiume kwa wa Watanzania ni deal sana.
Nawakilisah!!!!!
Nimeona nililete hili mbele yenu ili tuweze kujadili, hivi nguvu za kiume kwa wa Watanzania ni deal sana.
Nawakilisah!!!!!