Za leo wandugu wenzangu. Naomba ushirikiano kwenye hili swala and especially kwa mtu mwenye uhakika zaidi. Je dawa za nguvu za kiume za kienyeji au miti shamba (not from maabara eg viagra) zinamadhara yoyote kwa mtumiaji endapo atakapoanza kuzitumia!

...CNN walimtuma mtu mpaka Zimbabwe nadhani ilikuwa miezi michache baada ya kutoka Viagra, ili akathibitishe ukweli wa habari hiyo. Kama unavyowajua wazungu walitaka wanawake ambao wanajua waume zao wamewahi kutumia Vukavuka waliongelee hilo huku kauli zao zikirekodiwa, wote walikataa lakini pembeni wanawake hao walidai kwamba ukisikia njemba imeagiza hiyo dawa basi ujue siku hiyo ni kukesha tu.
Nasikia wale jamaa zetu wa Muweza Tanga wana Dawa yao inaitwa MKUYATI Mgosi Wa Gono Kama sikosei. Nayo hii vipi, kuna mwenye taharifa nao?
Sahihi ni taarifa.
Nafikiri hili tatizo ni la kisaikolojia, au linatokana na physical trauma, at some point in time au ni inborn error in genetical formation au ni combination ya yote.
Madawa ni anti-natural means to get rid of the problem and very temporary.
Wataalamu hapa watueleze zaidi kuhusu aphrodysiacs etc. and their side effects.
Mama sasa itabidi hapa pia tupitie kwa pamoja kila thread na post na kurekebisha kiswahili. Labda kwa kuanzia hapa. Kwani kuna msemo wa kiingereza usemao "charity begins at home" Unajua mama mtu akiandika kiswahili kikawa kimekosewa na ikawa inarudia rudia hata kiingereza atakuwa hajui vyema na hata lugha ya mama yake itakuwa inampa shida kwani ni mtumwa wa lugha. Ni vicious cycle kind of thing. Mtu hajui lugha ya mama vizuri, na hivyo kiswahili kinampa shida kwa kuwa language skills inakosekana kutoka kuzaliwa na malezi, na finally kiswahili pia kinakuwa taabu na kiingereza pia. Sijui kama umeshawahi kutafiti hilo.
Nasikia wataalam wa lugha wanatuambia kuwa uchanganyaji wa lugha zaidi ya moja kwenye mazungumzo au uandishi ni tatizo pia, hii imekaaje waungwana.
Mnaokwenda out of topic mna boa. The rest big up for the good contributions. Asanteni.
Za leo wandugu wenzangu. Naomba ushirikiano kwenye hili swala and especially kwa mtu mwenye uhakika zaidi. Je dawa za nguvu za kiume za kienyeji au miti shamba (not from maabara eg viagra) zinamadhara yoyote kwa mtumiaji endapo atakapoanza kuzitumia!
Za leo wandugu wenzangu. Naomba ushirikiano kwenye hili swala and especially kwa mtu mwenye uhakika zaidi. Je dawa za nguvu za kiume za kienyeji au miti shamba (not from maabara eg viagra) zinamadhara yoyote kwa mtumiaji endapo atakapoanza kuzitumia!
dddddddd
dddddddd
Please keep this in your records as your first contribution in JF, and wait for history to judge.
N.B
shouldnt there be age restriction for JF members?