Waganga wa jadi na nguvu za kiume

Wanatangaza biashara tu, ila sidhani kama hizo dawa kweli zinasaidia Kama kuna mtu aliyewahi kutumia atusaidie faida na madhara yake.
 
Biashara! We umesahau kuwa husimamisha hata roho? kuna Mc mmoja pale Moshi unaambiwa alipiga hizo akachanganya na Redbull na konyagi ili akatoe dozi. Yaliyomkuta yanasikitisha. Kuna fake lakini pia naamini kuna za kweli pia. Enzi hizo kua wale jamaa wanazunguka mikoani, anajiita MKUYATI MSIMIKA MWINULA, anakwambia unagonga goli saba non stop. Alikuwa anatoa tahadhari kuwa kama huna mpenzi au mke usitumie ile kitu. Kama ukitumia halafu mke yuko mbali basi usikae karibu na mama yako.
 
Biashara! We umesahau kuwa husimamisha hata roho? kuna Mc mmoja pale Moshi unaambiwa alipiga hizo akachanganya na Redbull na konyagi ili akatoe dozi. Yaliyomkuta yanasikitisha. Kuna fake lakini pia naamini kuna za kweli pia,,,, Enzi hizo kua wale jamaa wanazunguka mikoani,,, anajiita MKUYATI MSIMIKA MWINULA, anakwambia unagonga goli saba non stop. Alikuwa anatoa tahadhari kuwa kama huna mpenzi au mke usitumie ile kitu. Kama ukitumia halafu mke yuko mbali basi usikae karibu na mama yako.

Imagine yule mzee kifimbocheza wa gazeti la sani angekuvuta na bakora yake halafu akakuuliza "Haya eleza maana ya 'kutoa dozi', 'kugonga goli saba non stop'... utajibu je?
 
Wazee wengi wanaparamia vibinti vidogo na kujikuta hawawezi libeneke la vijana kuwafikisha kileleni, hawa ndo wanaotafuta na kutumia hizi dawa za kuongeza nguvu za kiume kwa wingi. mzee ana miaka hamsini huko anatembea na kibinti kina miaka 22, mzee wa watu issue mpaka isimame labda mwezi mara moja, mzee huyohuyo ana kisukari, presha binti anataka may be wiki mara tatu, hapo mzee lazima autafute mkuyati au dume.
 
Watumiaji sio wazee tu, vijana nao wapo tena inawezekana wengi ndio maana biashara imeshamiri, maana matangazo hayo hayapo kule kwetu vichochoroni hata kwenye hii mitandao yetu na humu ndio vijana hawakauki, kule kwenye supu za pweza pia!

Tatizo lipo nini sababu kama alivyosema Preta!! mie nahisi hii kukimbizana na maisha hii inawafanya watu wapeleke hisia zao kwenye ushindani wa maisha zaidi na huku upande mwingine mambo yanaenda kombo, imagine mtu yupo na wife anawaza jinsi gani atapata blackberry au simu itakayomuwezesha ku-accessmtandao hata akiwa uwanjani...
 
  1. Pamoja na stress za maisha ya kila siku lipo tatizo la ulaji mbaya hasa huu wa kisasa, yaani vyakula tunavyokula havina virutubisho vinavyotakiwa mwilini, mfano unga wa sembe tunaonunua madukani hauna kitu zaidi ya weupe na ladha nzuri, nyama ya ng`ombe wa kisasa, kuku wa kisasa,maziwa ya ng`ombe wa kisasa,vyakula vilivyosindikwa na kukaa muda mlefu,mboga zinazolimwa na kukuzwa kwambolea na kupuliziwa dawa kalikali kuuwa wadudu n.k
  2. Ukijaribu kuepuka badhi ya hayo (maana huwezi epuka yote hasa kama unaishi town) utapunguza sana ukubwa wa tatizo.
.....................................
Amani yetu inatumiwa vibaya
 
Matangazo mengi sababu wenye tatizo ni wengi,na kama wasingekuwepo wenye tatizo matangazo yasingekuwepo,si mnajua kuwa matangazo hulipiwa?
 
Matangazo hayo yako kwani tatizo la nguvu za kiume kwa wanaume limezidi kuongezeka, na hii inasababishwa na hali halisi ya maisha tunayoishi ambayo kwa namna moja au nyingine tuna kumbana na maradhi hayo,pia mavyakula tunayo kula ni chanzo tosha cha maradhi haya,umewahi sikia au kuona haya matangazo sehemu za vijijini kama siyo mijini?
 
Poleni sana Carthbert wewe unafanyaje ili kuepukana na tatizo hili?
 
  1. Pamoja na stress za maisha ya kila siku lipo tatizo la ulaji mbaya hasa huu wa kisasa, yaani vyakula tunavyokula havina virutubisho vinavyotakiwa mwilini, mfano unga wa sembe tunaonunua madukani hauna kitu zaidi ya weupe na ladha nzuri, nyama ya ng`ombe wa kisasa, kuku wa kisasa,maziwa ya ng`ombe wa kisasa,vyakula vilivyosindikwa na kukaa muda mlefu,mboga zinazolimwa na kukuzwa kwambolea na kupuliziwa dawa kalikali kuuwa wadudu n.k
  2. Ukijaribu kuepuka badhi ya hayo (maana huwezi epuka yote hasa kama unaishi town) utapunguza sana ukubwa wa tatizo.
.....................................
Amani yetu inatumiwa vibaya

Kwa kuongezea,
Watu wamekuwa na mambo mengi - kupita kiasi. Mara watu wanatumia njia zisizokubalika kufanya tendo hilo, watu wamekuwa walevi kupindukia, watu hawafanyi mazoezi ya miili yao na pia wanakula na kunywa vile visivyo healthy .

Kibaya zaidi baadhi ya wanaume wenye umri mkubwa kutwa kuhangaika na vijisichana vilivyo na umri mdogo sawa na wajukuu zao. - Wewe una miaka 60+ unahangaika na kabinti ka miaka 20 unategemea utakuwa na nguvu gani kumridhisha? Hapo bado hujapelekeshwa harijojo - mtarimbo utaacha kulala doro?.
Kuna pia imani potofu kuwa usipofanya mara kadhaa basi wewe si mali kitu, matokeo yake ni kujitia hofu bure - KITU KINACHOINGILIA KUDORORA ZAIDI!.
Wanaume wa siku hizi suala la performance limekuwa ni ishu kubwa inayowapa stress sana.

Wanachotakiwa kufanya - badala ya kutafuta dawa za kienyeji kuongeza nguvu, watulie na watu wao.Waache kuhangaika hangaika na kazi za nje zenye kuwaweka roho juu juu kujipima kiwango cha performance.
 
Poleni sana Carthbert wewe unafanyaje ili kuepukana na tatizo hili?

FL1, kwa upande wangu sijawahi kupatwa na kitu kama hicho,kwanza na kula vyakula vya kurutubisha mwili ambayo pia kwa upande mwingine vina nivyafanya niendelee kuwa fiti, nina uakika hata nikifika umri wa miaka 80 sitakumbana na tatizo hilo! ishu ya mtaribo kulala doro ni hatari sana kwa ndoa za wanaume wengi.

Unajua wanaume wengi wanatumia nguvu zao vibaya ndio maana unakuta kijana mdogo tu amechoka yuko hoi anaanza runda randa kwa waganga kutafuta dawa hii ni hatari sana jamani. Teh teh teh
 
Kwa kuongezea,
Watu wamekuwa na mambo mengi - kupita kiasi. Mara watu wanatumia njia zisizokubalika kufanya tendo hilo, watu wamekuwa walevi kupindukia, watu hawafanyi mazoezi ya miili yao na pia wanakula na kunywa vile visivyo healthy .

Kibaya zaidi baadhi ya wanaume wenye umri mkubwa kutwa kuhangaika na vijisichana vilivyo na umri mdogo sawa na wajukuu zao. - Wewe una miaka 60+ unahangaika na kabinti ka miaka 20 unategemea utakuwa na nguvu gani kumridhisha? Hapo bado hujapelekeshwa harijojo - mtarimbo utaacha kulala doro?.
Kuna pia imani potofu kuwa usipofanya mara kadhaa basi wewe si mali kitu, matokeo yake ni kujitia hofu bure - KITU KINACHOINGILIA KUDORORA ZAIDI!.
Wanaume wa siku hizi suala la performance limekuwa ni ishu kubwa inayowapa stress sana.

Wanachotakiwa kufanya - badala ya kutafuta dawa za kienyeji kuongeza nguvu, watulie na watu wao.Waache kuhangaika hangaika na kazi za nje zenye kuwaweka roho juu juu kujipima kiwango cha performance.

Nakubaliana na wewe 100% Mmmh inaonekana una uzoefu sana na mambo haya!
Nilitaka kukugongea senkyu kitufe hakionekani.
 
Kweli Maisha yamebadilika sana mambo yamekuwa mengi kupita kiasi ,maarifa yameongezeka nadhani ndio chanzo cha haya yote
poleni
 
Back
Top Bottom