Upunguvu wa Nguvu za Kiume ni nini?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Maridhiano yameshindikana juu ya tafsiri sahihi ya dhana ya upungufu wa nguvu za kiume.

1. Wengine husema upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kuwa na mbegu kidogo kwamba hawezi kuzitoa zaidi ya mara moja katika tendo moja la ndoa.

2. Wengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kushindwa kurudia tendo la ndoa kufuatia uume kusinyaa baada ya mshindo wa kwanza kukamilika.

3. Wengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kuchelewa kufika kileleni.

4. Wengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume kuwahi kufika kileleni.

5. Wengine wanaamini upungufu wa nguvu za kiume humaanisha mwanaume mwenye siha kushindwa kutunga mimba kwa mwanamke.

6. Je, Towashi hana nguvu za kiume?

Ipi ni tafsiri sahihi kati ya hizo 6?

Sintojuwa hii imetoa mwanya kwa kila mtu kuja na tafsiri yake huku waganga wa kienyeji na wa kisayansi kutumia mwanya huu kuvuna ela.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Upungufu wa nguvu za kiume unaweza kutafsiriwa kama nikushindwa kumudu tendo kiasi kwamba unashindwa kumridhisha mwenzi wako.

Suala la kufikia kileleni haraka linaweza kusababishwa na mambo mengi kama vile kukaa mda mrefu sana bila kushiriki sasa siku ukiwa na mechi lazima uwahi kidogo

Jambo lingine linaloweza kufanya mtu awahi nihisia. Unaweza ukakuta sehem fulani unachelewa na sehem nyingine chap kwa haraka umeaga mashindano.

Sababu za kufika kileleni haraka zinaweza kuchangiwa na upande pinzani pia namna unavyopokea mashambulizi na kuyafanyia kazi

Hatahivyo sababu za kufika mapema zinaweza kuwa maradhi,matatizo ya kisaikolojia,hisia,lishe n.k n.k n.k
 
Je, kushindwa kutunga mimba kwa mwanaume mwenye siha pia ni upungufu wa nguvu za kiume?

Je, Towashi hana nguvu za kiume?

NB.
Kusema kweli hii kitu wanasayansi na wanatiba asilia wameshindwa kupata tafsiri sahihi. Kwahiyo hawawezi kupata ufumbuzi wa tatizo wasilolijuwa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Couples zenye ela unakuta mwanamke anamuacha mumewe kisiri kwenda nje ya ndoa kutafuta kijana hohehahe je, tafsiri yako inafit kwenye case study hii?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hizo ni hadithi tu za kuliwaza. Mara chache sana mwanamke aliezoea kuwa na wanaume wenye hela kugongwa na wanaume fukara.
Sema ikitokea huwa inakuzwa sana.
 
Mkuu Madume ya mbegu hayazai bhana...
1. Yaache pombe za kiwandani, ulanzi na gongo yanywe pombe za vilabuni tu (wanzuki, mbege, kangara kwa sababu zina wanga wa kutosha). K-VANT inaangamiza taifa.

2. Yasile Chinese Spinach.

3. Yarudi nyumbani si zaidi ya saa 12 jioni. Yezebeli anaanzaga mawindo saa 12:1 jioni ili kupeleka watu bar na nyumba za wageni ili aue nguvu za kiume.

4. Yaache mihogo wabichi na pweza, yatafune karanga wabichi na nazi wabichi.

5. Yatelekeze nyumba ndogo zote.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom