Waganga wa jadi na nguvu za kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waganga wa jadi na nguvu za kiume

Discussion in 'JF Doctor' started by Domo Kaya, Oct 9, 2008.

 1. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2008
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mimi nina swali naomba kuuliza jamani ndugu zangu, hivi hili tatizo la NGUVU ZA KIUME ni deal sana hapa Tanzania???????????????? Maana kila tangazo la WAGANGA huwezi kukosa neno "TUNATIBU NGUVU ZA KIUME", Wamasai nao wamekuja na dawa za kuongeza nguvu za kiume, Sijawahi kuona wakisema TUNATIBU NGUVU ZA KIKE,

  Nimeona nililete hili mbele yenu ili tuweze kujadili, hivi nguvu za kiume kwa wa Watanzania ni deal sana.

  Nawakilisah!!!!!
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Oct 9, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ni wakati kama mtu yuko katika ndoa au mahusiano awe muwazi na mkweli kwa mpenzi wake na waongee kwa uwazi kuhusu masuala haya na mambo mengine

  kusema za ukweli nguvu za kiume zinapotea kutokana mambo mbali mbali moja ni simu za mikono hizi haswa jinsi unavyoiweka , na mambo mengine mbali mbali
   
 3. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2008
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Simu za mikononi??? Tafadhari fafanua ili na sisi tusiojua tuweze kuelewa.
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Some ridiculous theory kuwa radiation ya simu inaua nguvu za kiume, totally baseless. Anyway hili suala ni dili everywhere not just TZ, angalia mauzo ya Viagra.
   
 5. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Kang, nadhani bongo tunaendekeza sana mchezo wa uroda.....Kwenye olimpiki wangeweka huenda medali zingekuja kibao....
   
 6. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,631
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa kuanzisha topic hii inayohusiana na Mapenzi.

  Nasikia eti kuna mikanda ya suruali inapunguza nguvu za kiume. Pia kuna baadhi ya vitu kama vyakula vya sikuhizi vinapunguza nguvu za kiume. Tafadhali tusaidiane kuvitaja hapa ili tuepuke.

  Naomba kuuliza Ni Umri gani kwa Mwanaume Nguvu za Kiume zinaanza kupungua?

  Nina swali lingine japokuwa lipo mbali kidogo na topic. Kwa nini wasichana wengi wanapenda Mijibaba yenye Ndoa Zao? Nini wanafuata huko wakati vijana rika lao lipo.

  Kibaya zaidi ni kuwa Wenye Ndoa hawapendi kutumia COndom.

  Du HATARI !!!!

  Huko si Kujidhalilisha? Haijalishi una Elimu Kiasi Gani au ni Siri namna gani. Mapenzi ni kikohozi!!!!
   
 7. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  aisee kusema ukweli hii ni topic very sensitive na muhimu...
  mie niliwahi sikia maelezo ya wanasayansi kuwa vyakula tulavyo siku hizi ni effect kubwa sana kwa afya zetu ikiwemu hiloo kwa kina baba sie!
  je kuna wataaalam zaidi wa kutupa maelezo ya kina?
  na ni kweli kabsa hata mie nilipokua bongo nili realize hilo suala kuwa matangazo yooote ya waganga hao kuwa ni nguvu za kiume,na wanawake kuongeza shape za........sijui kurudisha.....na wengine wanadiriki kusema wanatibu ukimwi...loh
   
 8. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Swadakta kipanga, yani sio siri naona tuombe Fifa kuwe na mashindano ya ngono maana washindi watakuwa Tanzania -1, Nigeria - 2, South Africa -3 ....... si mchezo!
   
 9. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Uwezi kuamini,watanzania tunatumia sana dawa hizi za kuongeza nguvu za kiume,na vijana ndo wengi ingawa wazee nao hawako nyuma.Ingawa inawezekana tatizo lipo lakini nimegundua pia na sie tunajiendekeza huku story za vijiweni zikituaribu.Ukweli ni kwamba dawa hizi zina madhara makubwa katika anga hiyo hiyo ya nguvu za kiume,kwani itafikia hatua hauwezi kupanda mlima mpaka utumie dawa hizo.Tujenge tabia ya kuwatumia wataalam wa afya kabla ya kuanza kuzitumia dawa hizi.
   
 10. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2008
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hakuna kupote kwa nguvu za kiume wala nini, tatizo waganga wengi wameshagundu WANAUME WENGI WAKITANZANIA wanatatizo la kisaikolojia inapofikia muda wa tendo la ndoa na hasa pale wanaume wanaposhindwa kujianda ipasavyo inapofikia tendo hilo.
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu mapenzi ni pesa.
  Vijana wengi kipato chetu ni kiduchu sana ukilinganisha ni mijibaba ambayo utakuta lina nyumba,mke,watoto n.k anatafuta pesa ya kula tu kwa hiyo kuhonga milioni kwa kibinti haoni tabu na wala hasara...mwenzangu na mimi ufikirie kodi ya nyumba,kiwanja hujanunua,nauli dah! inakuwa ngumu mkuu kuenjoy na binti ambaye mpo rika moja utashindwa kumgharamia hata kama mpo pamoja atakuwa anakuhadaa tu lakini pembeni ana spare tyre inayo mfinance kwa kila kitu....
  Ndo maana vijana nao wanadondokea kwa mijimama au wake za watu kutokana na kwamba kipato chao kiduchu na hawa wanawake wapo cheap hawana gharama ukilinganisha na vibinti...kazi kweli kweli lakini tutafika tu.
  Kama huna pesa hakuna penzi...hii ipo wazi unatoa unapewa.
   
 12. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ni mmoja za dawa za sheitani anawaongezea watu raha ya uzinzi maana wanaume wengi hawatosheki na wanawake .. ni nguvu ambazo sasa hivi watu wanizepelekea kuwabaka watoto wadogo , wazazi wao hata wanyama kama mbwa mbuzi ngombe to mention but a few .. maana ukishazimeza unakuwa tena kama mwehu lazima utafute mtu ukikosa wote wanaingia kwenye mkumbo ..

  kuna cases pia za over indulgence in sex ukiwa kijana .. ukubwani nguvu zinapungua

  na hao wanaume wenye kukubali mchezo wa ufirauni ndo kabisa hawafai maana wanajificha na makoti kumbe huku wana wake zao nyumbani .. sana kama umeshavunjwa vile lazima utafute njia ya kumdhihirisha mkeo au mwanamke kwamba we ni rijali ... ula pia wasijali maana shetani kashuka mwenyewe kama popobawa kama ni true kuwashughulikia.

  Cases nyingi zamani ni za wanawake kubakwa .. sasa ratio ya wanaume kulawitiwa inalingana au kuzidi ya wanawake kubakwa

  matatizo pia ni mengi i.e. afya, frustration etc .. lakini hayo hata hayawezi kukuvunja kabisa na yanaheshima yake maana hata mkeo anaelewa kwamba mumewe ana matatizo ... cha ajabu sikuhizi inatokea sana kwa vijana .. kwanini kama si kuendekeza ufirauni???
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Oct 10, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hayo magazeti ya udaku yenye matangazo ya dawa hizo mengi yanasomswa na vijana -- na katika maongezi kijana hakosi kusema jana au juzi usiku alifanya nini na nani , kijana huyu anapenda akimalizana na huyo aliyefanya nae usiku akahadidhie kama chain kijana anajiona kafika yeye ndio kidume haswa
   
 14. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jibu katika picha.
  Maji toka Ruvu-Ndoo Dar es Salaam.
  Maji yakitoka kwa speed (velocity) ndogo akina mama huwa tunalalamikia kutojaa haraka. Mara nyingi ndoo hizi hutegemea matakwa ya mjazaji ambaye ni mtambo Ruvu. Katu hutasikia mwanamke akitibiwa nguvu za kike. Labda kama kuserebuka kitandani.
   
 15. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha! mambo ya velocity hayo!
   
 16. Wakunyuti

  Wakunyuti JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Kumbe Bubu Msemaovyo ni mwana mama
   
 17. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kumbe hukujua? tena mrembo wa haja si unaona picha hapo juu?
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Nguvu za kiume zinasababishwa na mambo mengi meengi sana yakiwemo1.Uvutaji wa sigara2.Stress 3.Vyakula hasa vile vinavyopendwa na watu kama vyepe na nk......
  wabongo wengi nafikiri hawana matatizo ya nguvu za kufanya mandingo ila wanataka kukomesha wenzi wao.....siku hizi jamaa wanataka nyuume zao zirefushwe eti ziwafikishe wenzi wao....

  kupenda kuchovya chovya nako kunaongeza nguvu kupungua......nina uzoefu na hili.....kuna machine ukizikuta unahisi kama huna nguvu kabisa kwa sababu ama hazina mvuto kwao au la.....

  Niliaambiwa hata kujichua kunapunguza nguvu.....nilidhibitisha kuwa sio kweli mwenyewe.....ila inasababisha kuwahisha kutikisa nyavu...
  sasa basi nawashauri watu wenye tatizo hilo wapunguze kula vyakula taka kama bugger and all kinds of junk.....pigeni tizi acheni kukuza vitambi sio dili.....
   
 19. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo upo sawa.Wanaoamini hayo mambo wataliwa mpaka mwiksho
   
 20. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Za leo wandugu wenzangu. Naomba ushirikiano kwenye hili swala and especially kwa mtu mwenye uhakika zaidi. Je dawa za nguvu za kiume za kienyeji au miti shamba (not from maabara eg viagra) zinamadhara yoyote kwa mtumiaji endapo atakapoanza kuzitumia!
   
Loading...