Dawa ya nguvu za kiume ipo Baharini na kwenye maziwa

SISIS

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
10,671
2,029
Nashangaa watu wanauziwa madawa ya unga mengine hawajui yamechanganywa na nn tena kwa bei gali wakati dawa ya nguvu za kiume ipo kwenye maji yaliyotuzunguka

Sasa niwaambie uume ni kama jicho tu huwa linajisafisha lenyewe halihitaji nguvu nyingi, ukitaka uwe rijali hadi mwanamke aombe poo nenda kwenye mabuncha nunua yule samaki fresh anaitwa sangara na sato wanapima hadi robo kilo

wale samaki ni balaa wako kama viagra sema ukila wale kwa wingi uume wako utasimama kila siku sio kwa masaa 24, chemsha supu weka ndim na pili pili ukiamua hata kula mboga yake tu nguvu za kiume zipo ndani ya hawa samaki

baharini huko napo pweza na jodari nao si haba ila sangara na sato wale samaki kama una ttzo la nguvu za kiume nakushauri kula kwa wingi
 
Umetisha sana Mwamba
 
Pweza, kaa, prawns na stafeli
 
Back
Top Bottom