Wafuasi wa Sheikh Ponda kesho kuandamanda mpaka gerezani Segerea

Ndonya

Member
Oct 14, 2012
34
4
Habari chini ya kapeti zinasema wafuasi wa sheikh ponda kesho wanataraji kuandama mpaka gereza segerea, maandamano haya yataanza baada sara ya alfajiri, lengo la maandamano hayo aijajulikana.
 
Mkongoto wa nguvu tu, kama atasimama mtu.
 
Mimi napenda logic za wafuasi wa CHADEMA. Serikali ikitumia nguvu dhidi ya Waislamu 'safi sana', ikifanya hivyo hivyo kwa CHADEMA makelele! Hapa kuna siri imefichika!
 
polisi wetu wamekaa kidadadada ndo maana wanashindwa na hao wajinga wachache
 
Mimi napenda logic za wafuasi wa CHADEMA. Serikali ikitumia nguvu dhidi ya Waislamu 'safi sana', ikifanya hivyo hivyo kwa CHADEMA makelele! Hapa kuna siri imefichika!

Simple reasoning. CDM walishaandamana kumtoa nani polisi? haijawahi tokea. Na mind you, sio waislamu, bali kundi la waislamu wahuni! Waislamu ni watu safi! Hawa ni wahuni.
 
Habari chini ya kapeti zinasema wafuasi wa sheikh ponda kesho wanataraji kuandama mpaka gereza segerea, maandamano haya yataanza baada sara ya alfajiri, lengo la maandamano hayo aijajulikana.
Ulinzi uimarishwe mara dufu, mabomu ya kutosha, flying objects na wakifika tu wafunguliwe waingie na hakuna kutoka hadi hasira zao ziishe.
 
Mabomu yakutosha yaandalie wasije sababisha wafungwa kutoroka hawa ... na risasi za moto kabisa...

Kwani POLICCM hawatakuwa na "vitu vizito na vyenye ncha kali" au hivi vimefichwa kwa ajili ya maandamano ya CHADEMA tu!!
 
Simple reasoning. CDM walishaandamana kumtoa nani polisi? haijawahi tokea. Na mind you, sio waislamu, bali kundi la waislamu wahuni! Waislamu ni watu safi! Hawa ni wahuni.
Ni kweli hawa wametuma na sijui wanafuata kitabu gani, maana qran tukufu imesema tueshimu mamlaka zetu.
 
hao wafuasi wa sheikh ponda waliambiwa na kamanda kova wajisalimishe wenyewe kabla msako haujaanza, je wanataka kulikejeli jeshi la polisi au hiyo ndo style yao ya kujisalimisha?
 
Quabooos, Quaboos, Quaboos, waambie hao washkaji warudi bongo kutuliza huu upepo manake ingawa utapita lakini hautapita hivi hivi lazima roho za watu zitapotea tu....
 
Waleteni kwa wingi tu kamanda Kova hatakil masialal na ujinga wa ujinga wa Ponda na baadhi ya waislamu njaa wasio na shughuli ya kufanya. Jamani hivi huyu Ponda ni zaidi ya Osama?
 
hatimaye ALIYOYATAKA RAIS LEGEVU YATATIMIA! jk naomba zawadi ya udi wa oman, nifukize banda langu la nguruwe! rais DHAIFU, maamuzi LEGELEGE!
 
Waleteni kwa wingi tu kamanda Kova hatakil masialal na ujinga wa ujinga wa Ponda na baadhi ya waislamu njaa wasio na shughuli ya kufanya. Jamani hivi huyu Ponda ni zaidi ya Osama?
usifananishe MAN-U NA LIPULI! Ponda si ki-mtu tu, hata mombasa am sure hawamjui!
 
Back
Top Bottom