GE2025 Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unaizungumzia CHADEMA ipi?

CHADEMA ambayo inaumizwa na maamuzi ya mahakama kwa order kutoka juu kwa kuizuia kufanya shughuli za kisiasa takribani mwezi sasa?

Unaizungumzia CHADEMA hii hii ambayo mahakama za maelekezo toka juu zimezuia watu wawili tu kutofanya shughuli za kichama ila hata baraza la wanawake lilipoitisha mkutano wa ndani policcm walifika kuwazuia?

Unazungumzia CHADEMA hii hii ambayo mwenyekiti wake anatuhumiwa kwa kesi za kubumba hadi wanatumia mashahidi wa gizani waliojificha?

Unazungumzia CHADEMA hii hii ambayo ikiitisha press vyombo vinavyojitokeza havizidi 10 sababu wanagopa kushughulikiwa na serikali ya CCM kwa kuripoti habari za upinzani?

Unazungumzia CHADEMA hii hii iliyokataa kusaini kanuni zisizo na maadili kama kuzuia watu kuingia na simu kwenye chumba cha kura isipokuwa msimamizi wa uchaguzi ambaye anafuata maelekezo ya serikali na policcm ambalo ni tawi la akiba kuilinda CCM.

Pengine utakuwa unaota .

Kama CCM inakubalika kwanini haitaki uwanja sawa kiushindani jukwaani na kwenye box la kura?
 
Nyuki hawezi kutolewa kwenye mzinga wa asali bila kuathiliwa kwa namna Moja ama nyingine. Zamani tulipokuwa tuenda kulina asali tulikuwa tunawachoma kwa moto sijui Sasa hivi wanafanyaje ila NDIO HIVYO.
 
Siasa ni kitu kibaya sana ona hii mburura inafurahia sheria za nchi zikivunjwa kisa tu anashabikia kundi livunjalo sheria hizo

Hata ufurahie vipi haitabadili ukweli kuwa nchi hii inahitaji reforms kuanzia kwenye fikra za mburura kama wewe hadi kwenye chaguzi zetu ndani na nje ya vyama
 
Wewe usiwe punguani sheria gani zimevunjwa?
 
Wanaukumbi.

Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.

Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.

Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.

Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.

Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.

Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
Wamesema wanaandamana lini?
 
Haki haihitaji kutetewa inajipambanua yenyewe furahini tu kwakuwa mpo kundi kandamizaji ni muda wenu
 
Lawama zote wampe John Mnyika ambaye alikataa kusaini fomu za maadili huku akijua mwenyekiti wake yuko nyuma ya nondo.

Unless otherwise Mnyika ni pandikizi.

I'm not a politician
 
Msikilize kada wako polepole utajua sheria gani zimevunjwa na umburura wako
Polepole msikilize wewe si ndiyo shujaa wenu kwa sasa kila analosema mnamfuata.
 
Haki haihitaji kutetewa inajipambanua yenyewe furahini tu kwakuwa mpo kundi kandamizaji ni muda wenu
Haki gani ambayo unaiongelea? Chadema wamesusia uchaguzi kisha wakasema watakinukisha uchaguzi usifanyike sasa hapo lawama unampa nani?
 
Wanaukumbi.

Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.

Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.

Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.

Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.

Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.

Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
Baadhi ya waislamu wana chuki sana zaidi ya ukristo.
 
Polepole msikilize wewe si ndiyo shujaa wenu kwa sasa kila analosema mnamfuata.
Ni kawaida ya hili jukwaa ukiikosoa ccm unaambiwa ni chadema ukiisifia unaitwa chawa but ukweli ni ukweli tu
 
Haki gani ambayo unaiongelea? Chadema wamesusia uchaguzi kisha wakasema watakinukisha uchaguzi usifanyike sasa hapo lawama unampa nani?
Shangilia ushindi mkuu piga vigelegeleee
 
Unauliza swali la kitoto members wa JF tunajuana soma vyuzi hapa Jukwaa la siasa kama una akili timamu utajua.

Mambo ya utanzania yaingiaje nikuulize wewe vipi umejiandaa kuzuia uchaguzi mkuu?
Kwanza nikukumbushe; wewe huiganii CCM humu; na wala siyo mwana CCM; ndiyo maana nakuona kuwa juha mkubwa kabisa.
 
Wanaukumbi.

Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.

Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.

Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.

Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.

Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.

Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
Kwa udini tu hujambooo kobazi uliyekomaa
 
Back
Top Bottom