Ni waPi nimeshindwa kuthibitisha. Kila siku humu natoa mifano ya watu husika ndani ya GENGE hilo, na bado unakuja kunitaka nithibitishe? Samia humjui; Kikwete humjui; wakuu wa vitengo kadhaa, wateule wa Samia huwajui; maaskari, olisi wanaofanya kazi za GENGE huwajui?Sawa, for the sake of forgoing unnecessary arguments based on unsubstantiated accusations.
Maana umeshindwa thibitisha hilo genge lililoteka chama, hoja ambayo umeileta wewe.
Sasa wewe unasemaje; kwamba chama cha CCM (chama ambacho unakitetea mara kwa mara humu); ndio wanao simamia mambo ya aibu yanayofanyika humu nchini wakati huu?
Unazo akili za kufikiri, lakini unazizima tu kwa vile unachukia viongozi au baadhi ya vyama wanaoinga maovu yanayofanywa chimi ya Samia na GENGE lake kwa kutumia jina la CCM? Wewe utakuwa ni mtu wa aina gani usiyeweza kupambanua haya kama siyo mmoja wa kundi hilo la watu waovu!