Wote hao walikuwa wapi wakati chama kinavamiwa na GENGE!CCM sio ya mzaha-mzaha usidhani wahuni wanaweza kukichukua hiko chama kirahisi tu, halafu walinzi wake wawaangalie tu.
Watch this space.
Tanzania ni nchi imara
Unajuwa GENGE ni kina nani?

Kuteuliwa na tume ndio nini, kwenye uchaguzi kuna vyama 18 chagueni kiongozi mnayemtaka huko, nyie kwl ni nyumbu. Ht wangekuja hilo bunge la Ulaya kusimamia uchaguzi Samia angeshinda kwa kura nyingi sanaCDM Ni dude kubwa..Hadi Mwenyekiti yupo ndani (Ili sa100 apite bila kupingwa_ hii Ni aibu y Karne, Na historia utanikumbuka kuwa ndiye Rais pekee baada YA mfumo Wa vyama vingi ambaye aliteuliwa Na tume na kupita bila kupingwa
Kama CCM Ni wanaume twendeni Kati kwenye mfumo Ulio bora
Unauliza swali la kitoto members wa JF tunajuana soma vyuzi hapa Jukwaa la siasa kama una akili timamu utajua.Umejuaje wanaolalamika ni CHADEMA. Umekagua kadi zao za uanachama wa chama hicho?
Na hata wangekuwa ni wa CHADEMA, wao siyo waTanzania?
Sijui kwakweli.Wote hao walikuwa wapi wakati chama kinavamiwa na GENGE!
Unajuwa GENGE ni kina nani?
Ni bora kabisa kuwa na akili za kitoto, kuliko kuwa na akili za kiPumbavu kama ulizo nazo wewe, kudhani kila anaye jadili mada za vyama vya siasa ni mwanachama wa chama cha siasa.Unauliza swali la kitoto members wa JF tunajuana soma vyuzi hapa Jukwaa la siasa kama una akili timamu utajua.
Mambo ya utanzania yaingiaje nikuulize wewe vipi umejiandaa kuzuia uchaguzi mkuu?
Basi tulia kwanza, utajuwa GENGE ni nani ndani ya CCM chama kitakaPo jisafisha tena karibuni.Sijui kwakweli.
Genge ni hakina nani?
weka uchaguzi huru na haki utapata jibu wanaelekea wapi.....Wanaukumbi.
Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.
Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.
Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.
Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.
Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.
Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
Sawa, for the sake of forgoing unnecessary arguments based on unsubstantiated accusations.Basi tulia kwanza, utajuwa GENGE ni nani ndani ya CCM chama kitakaPo jisafisha tena karibuni.
Unailaumu Cdm kukaa kuzungumzia maswala ya Ccm kutwa kucha. Huku nawe ukishinda kutwa kucha ukihangaika kuzungumza ya Cdm ?!. Tofauti yako na wana Cdm ni nini !!Kwa hiyo hamna tena No reforms no election mbona mnamsaliti Kamanda Lissu. Hamtaki kuingia barabarani kukinukisha? Mmeamua kuandamana humu humu JF?
Mmepanda basi la CCM hamjui linaelekea wapi 😃
Mimi mpaka nimeanza kuwaonea huruma!Wanaukumbi.
Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.
Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.
Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.
Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.
Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.
Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
Wapi nimelaumu?Unailaumu Cdm kukaa kuzungumzia maswala ya Ccm kutwa kucha. Huku nawe ukishinda kutwa kucha ukihangaika kuzungumza ya Cdm ?!. Tofauti yako na wana Cdm ni nini !!
Mnajinasibu kuwa Ohhh Ccm inapendwa na ina wafuasi wengi. Mara ohhh Samia anapendwa , na amefanya makuu. Lakini ajabu hamtaki uchaguzi ulio huru na haki ?!. Ili ashindane na wengine. Mnataka uchaguzi mnaouiremoti !!.
Wewe binafsi upo wapi 😤 😜 au waupo ubwabwani?!Wanaukumbi.
Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.
Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.
Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.
Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.
Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.
Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
Mkuu, agiza kitimoto rosti na ndizi mbili bili nitalipa!Kura wanapiga CCM wenyewe walalamikaji ni Chadema😀
Kwahiyo kwako unahuzunika badala ya kufurahia ili mpate ushindi wa kishindo wa 100%?