pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,035
- 15,242
Kumbuka kuwa Cahdema ni watu wanaojitambua kuliko wa CCM tena saaaaaana!
Ahahahahaha! Mpaka unajiuliza kama yupo timamu ama la!Utashangaa mfuasi wa Chadema povu linamtoka anakuambia Dodoma hawamtaki Samia na mkutano unavunjika 😀
No Reform No Election imekufa. Angalia mwana-CHADEMA anavyoandika- Yaani anamaanisha M/Kiti wa CDM -Lissu akiachiwa leo ataingia katika uchaguzi kushindana na RaisSamia.CDM Ni dude kubwa..Hadi Mwenyekiti yupo ndani (Ili sa100 apite bila kupingwa_ hii Ni aibu y Karne, Na historia
Wewe punguani nenda kwanza kajifundishe kuandika kila rudi hapa pumbavu.Ni bora kabisa kuwa na akili za kitoto, kuliko kuwa na akili za kiPumbavu kama ulizo nazo wewe, kudhani kila anaye jadili mada za vyama vya siasa ni mwanachama wa chama cha siasa.
CCM unayoidai haPa inafanyia kazi zake wapi kama siyo Tanzania? Hili nalo kwako unaona hakuna uhusika wa waTanzania?
Usitukane mamba kabla hujavuka mtoHamna tena No reforms no election😀
gazeti reefu mwisho wa siku nchi inanuka rushwa,ufisadi,umasikini wa viwangu vya juuSomo fupi kwa wasio ielewa CCM, hilo ni dubwasha kubwa sana.
CCM ina wanasiasa ambao wamekulia ndani ya chama na kutengenezwa kuwa viongozi mfano Mwigulu, Bashungwa, Biteko, Nape na ghasia wengine wa hovyo leo kama mawaziri.
CCM pia ina walinzi wake (wing ya usalama wa taifa) ambao sio lazima wote uwa wanasiasa ila wanalelewa kuhakikisha CCM inabaki madarakani na Ina wahudumia wananchi; mfano Rajabu Lhuwavi.
Asilimia kubwa ya mawaziri ni vijana waliopikwa na CCM kushika madaraka (ni wanasiasa tu) na kuna watu kama Polepole wanatokea angle zingine za chama za ulinzi hadi kuwa wanasiasa (wapo wengi ila rarely kuwa wanasiasa).
Ndio maana Polepole anaita CCM chama chetu (elewa nyuma yake kuna nguvu kubwa).
CCM sio ya mzaha-mzaha usidhani wahuni wanaweza kukichukua hiko chama kirahisi tu, halafu walinzi wake wawaangalie tu.
Watch this space.
Tanzania ni nchi imara
Una Akili ndogo sana yaani ww ni bwege kweli, CHADEMA haipo hapo unapotaka ww, CHADEMA inamjua sana Polepole kabla hujazaliwa mwaka 2001, CHADEMA inamjua muasisi wa uvunjaji wa Sheria za uchaguzi ni Polepole,nasikitika kwamba hujui hilo,endelea kuota ndogo unaruhusiwa.Wanaukumbi.
Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.
Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.
Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.
Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.
Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.
Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
Hatupigi kura sisiKwa hiyo hamna tena No reforms no election mbona mnamsaliti Kamanda Lissu. Hamtaki kuingia barabarani kukinukisha? Mmeamua kuandamana humu humu JF?
Mmepanda basi la CCM hamjui linaelekea wapi 😃
Naona umetoka kuroga...Wanaukumbi.
Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.
Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.
Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.
Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.
Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.
Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
Naona umetoka kuroga...
Punguza hangover ya kula kinyesi....
Relax, burudika na ngoma hii labda akili yako inaweza kuwa activated kukufanya uwaze na kufikiri vizuri kabla kumwaga pumba zako kupitia midomo yako michafu hiyo...
View: https://youtu.be/CEbVY0b3PD4?si=tjUqnP5HM4lEZb5w
Punguani lingine la Bavicha linatokwa na povi vipi utaingia barabarani kuzuia uchaguzi au hamna tena No reforms no election mmemsaliti Tundu Lissu, mpo dodoma😀Una Akili ndogo sana yaani ww ni bwege kweli, CHADEMA haipo hapo unapotaka ww, CHADEMA inamjua sana Polepole kabla hujazaliwa mwaka 2001, CHADEMA inamjua muasisi wa uvunjaji wa Sheria za uchaguzi ni Polepole,nasikitika kwamba hujui hilo,endelea kuota ndogo unaruhusiwa.
Pumbavu wewe na punguani wewe mwenyewe na ukoo wako wote...Punguani lingine hili la Ufipa alitaki tena No reforms no election😀
Wanaukumbi.
Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.
Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.
Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.
Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.
Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.
Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
Wewe Punguani kweli nani kakuuliza upo wapi? Wewe utakuwa Chadema-Kata hujui hata Ufipa ni wapi😀Pumbavu wewe na punguani wewe mwenyewe na ukoo wako wote...
Mimi niko zangu Shinyanga unaniambia habari za Ufipa na wafipa wa Sumbawanga/Rukwa ili ieweje..??
Umeburudika na hiyo ngoma lakini? Au hujalipwa B7 yako mwana Lumumba ili upate MB kwa ajili ya internet..??