Wanaukumbi.
Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.
Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.
Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.
Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.
Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.
Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
Huyu👇🏻 sio wewe uliyeandika hapa?Wewe Punguani kweli nani kakuuliza upo wapi? Wewe utakuwa Chadema-Kata hujui hata Ufipa ni wapi😀
Sijakasirika..Sasa umekasirika nini uchaguzi bado miezi miwili kaige familia yako uingie barabarani na bango la No reforms no election uone shughuli😀
Umeshatoka Iran na Gaza.. hakuna CDM na baadhi ya WanaCCM wataenda kupiga kura. Endelea na ushabiki wa GAZA huku sio pahala pako.Kwa hiyo mmesaliti Tundu Lissu.
Hamna tena No reforms no election tupo Dodoma😀
Cha kufuraisha wanaolalamikia uchaguzi wa CCM ni wafuasi wa Chadema.
Huwenda una umri mdogo CCM huo utaratibu viti Maalum alianzia kwa Nyerere, Mwinyi. Mkapa😀
Narudia tena wewe ni Chadema-Kata hujui UFIPA ni wapi😀Huyu👇🏻 sio wewe uliyeandika hapa?
"...Punguani lingine hili la Ufipa alitaki tena No reforms no election😀"
Pumbavu na punguani wewe Ritz. Mimi sio wa ufipa. Niko hukohuko ulipo - CCM Lumumba...!!
Sijakasirika..
Ndio maana nimekupa hiyo ngoma uburudike nayo
Hebu sikiliza na uburudike tena
Hawa vijana wa Ufipa hawaeleweki mambo ya Gaza yameingia vipi huku mada yetu vipi utaingia barabarani na bango No reforms no election kuzuia uchaguzi?Umeshatoka Iran na Gaza.. hakuna CDM na baadhi ya WanaCCM wataenda kupiga kura. Endelea na ushabiki wa GAZA huku sio pahala pako.
Piga spana akina Ritz,Stunex &co
Ninyi ingieni kwenye uchaguzi sisi Chadema tuacheni kama tulivyo kwani wewe kinakuwasha nini !??Wanaukumbi.
Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.
Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.
Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.
Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.
Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.
Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
📌📌📌📌🔨🔨🔨Piga spana akina Ritz,Stunex &co
WamepagawaWanaukumbi.

Aiseeh waChina wanajua kula hela
Kama maza tuuHuyu hawahi hata kushinda udiwani😀