GE2025 Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyakati huwa zina kawaida ya kuja na kupita na sasa zile nyakati zenu ni kama zilipita na hawaamini kama leo hii hawana uwezo wa kukusanya watu na kuandamana na wamebakia kuwa watu wa kuimba ma slogan tu mara No Reform No Election , sijui One Love blah blah nini. Yaani ili mradi tu kila siku wawe wamechanganyikiwa yaaani.
Mimi sio chadema Tatizo machawa ni kujiona nyie ni CCM damu kuzidi hapo ndo mnakwaza watu wakati nyie mko kimaslai mpata vipesa vya mboga nyumbani Wewe huwezi kua Christian than Roman au kua muislam kuwazidi wale wa Madina
 
Wanaukumbi.

Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.

Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.

Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.

Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.

Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.

Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
Bora chaumma wanajiimarisha siku hadi siku
 
Wapo waliohoji ndani ya chama chao juu ya wanazuiaje uchaguzi? Kwa mikakati ipi? Hawakuweza kusema zaidi ya kupayuka tu kuwa hakuna uchaguzi mwaka huu.

Sasa INEC imetangaza tarehe ya uchaguzi mkuu jana lakini badala ya kusikia kauli zao za kishujaa za kuzuia uchaguzi kunasikia milio tu ya akina Lema. Kwani mnalalamika imekuwaje hamzuii uchaguzi tena? Mimi nilidhani ili uchaguzi muuzuie ilikuwa lazima kwanza INEC itangaze kuwepo kwa uchaguzi ambao sasa mtauzuia au?
 
UFIPA tarehe ya uchaguzi ni 29.10.2025 mnazuia uchaguzi 🤣🤣
Ndiyo wapi huko.
Na wewe najuwa ni mzoga tu; mtindo wenu ni ule ule, kwa hiyo wote ni kuwachukulia kama mlivyo.
 
Wanaukumbi.

Tumebakiwa na miezi miwili tuingie kwenye Uchaguzi Mkuu. Bahati mbaya au nzuri Wafuasi wa Chadema hawajui wanapoelekea sasa hivi wamepanda basi la CCM ambalo hawajui linapoelekea mfano tunaona walivyojaa kwenye mfumo wa CCM.

Nyuzi nyingi za uchaguzi wa CCM hapa JF zinafunguliwa na Pro- Chadema
Inafurahisha sana wafuasi wa Chadema wanapeana faraja kuliwazana kuwa CCM inatasambaratika huko Dodoma kwenye uchaguzi wao kuwa hawamtaki Rais Samia, ukiwauliza mbadala wa CCM nani wanasema Polepole.

Wameishamsahu Kamanda Tundu Lissu. Sasa hivi wamejikita kufuatilia mkutana wa CCM na wanataka Rais Samia asichaguliwe yaani wanawapangia CCM namna ya kuendesha uchaguzi wao ni kituko.

Hamna tena No reforms no election sababu wameishapanda basi la CCM hawajui linaenda wapi.

Ushauri wangu kwa Makamanda huu muda uliobaki ni mchache msiutumie kuandamana humu JF na IDs feki, kila mmoja anatakiwa kuaiga familia yake kuwa naenda kwenye mapambano kuikoa Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu naingia barabarani No reforms no election.

Kuna mawili naweza kurudi au nisirudi hii ndiyo njia muhimu kwenu ya kumuenzi Tundu Lissu. Sasa hivi Polepole anaonekana shujaa kwa wafuasi wa Chadema kuzidi Lissu na Heche daaah.
Wewe unajua mamako anapotupekeka?
 
Ufupa Walijipa umuhimu wa kuamua jinsi ya kufikiri kwa watu,kuwaza kwao, kumuunga mkono nani na kwa nini! Yaani CHADEMA hawa waliokuwa wanamuimba Lowassa ni fisadi kwa miaka zaidi ya kumi waligeuka na kusema ni mtu safi sana mwaka 2015 na kuwataka watanzania na nyumbu wao wampigie kura!Na kwa kweli walifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kwenye hilo na waliweza kushika akili nyumbu wengi sana.
 
Wapo waliohoji ndani ya chama chao juu ya wanazuiaje uchaguzi? Kwa mikakati ipi? Hawakuweza kusema zaidi ya kupayuka tu kuwa hakuna uchaguzi mwaka huu.

Sasa INEC imetangaza tarehe ya uchaguzi mkuu jana lakini badala ya kusikia kauli zao za kishujaa za kuzuia uchaguzi kunasikia milio tu ya akina Lema. Kwani mnalalamika imekuwaje hamzuii uchaguzi tena? Mimi nilidhani ili uchaguzi muuzuie ilikuwa lazima kwanza INEC itangaze kuwepo kwa uchaguzi ambao sasa mtauzuia au?
Hakuna uchaguzi ndio , labda kuna kujiteua🤔
 
Ungejukita ndiyo nini?

Vipi utaingia barabarani kuzuia uchaguzi.

Hamna tena No reforms no election😀

Hali mbaya sana huko Gaza. Kuwacha kuwapigania wale ndugu zetu na kuja huku ambako wenye vita vyao hawajakuomba hata mawazo hudhani matumizi mabaya kabisa ya muda?
 
Back
Top Bottom