Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 2,293
- 5,417
Apo ni buku kumi tu umekuja kutusimanga na kutuvua nguo watumishi wote humuYaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa