Wafanyakazi wa serikali changamoto

Wafanyakazi wa serikali changamoto

Nilimkopesha jamaa mmoja, aiseee yule jamaa siku naenda kumdai daaah alichonijibu mpaka nikamshangaa alisema hivi " sina hela yako, afu we siyo mtu wa kwanza kukukopa nadaiwa na matajiri sembuse wewe unakuja kunikoromea subiri siku nilijisikia kukupa nitakupa" daah yule jamaa nilimuangalia hasira zilipanda ila nikajikqza tu nikasepa zangu maana tungepelekana monchwari
 
ukishakopa,bajeti ya mshahara tayari ina deni na unategemea kulipa deni ili ukikwama ukope tena......
changamoto ni linapotokea tatizo lingine kabla ya kulipa deni,yaani unakopa tena.
btw, pole sana.......akirudisha hiko alichokkopa, akija tena akakopa kama unacho usisite kumpa
jasho la mtu la halali linaenda kwa USAHIHI linapotatua matatizo ya watu wengine
unajua kwanini?
RIZIKI ni kile chakula tu unachokula,hivo vingine vyote(na pesa) ni za wengine...
KAMA RIZIKI YAKO IKIFIKA MWISHO,HAKUNA CHOCHOTE KITAKACHOFAA HATA KAMA PESA ZOTE UNAZO

NB! Jaribu kumuuliza kwanini anachelewa kulipa deni, Pia ukiwa na pesa au kitu cha malengo yako...usimkopeshe mtu kama unajua asiporudisha au akichelewesha itakuathiri.(HAPA MWAMBIE HUNA)
na kama haikuathiri ndo umkopeshe maana hutakua na haja ya kuja JF kuFUNGUA KESI YA MADAI
 
Ningemlalua kwa kauli mbaya sana
 
So mimi now nani ana nitatulia shida
 
Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?

Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
Umewahi kwenda ofisi za serikali?
Huo ubabaifu unaokutana nao ulitegemea mambo yawe tofauti kwenye issue nyingine na watu hao hao
 
Hiyo ni sheria inakutaka.Ukipata kadi ya benki,NIDA,NEC nk, angalia nyuma na usome maelekezo.Yapo technical na unapaswa kuyaelewa kabla haujapandishwa kizimbani kwa kwa kumiliki mali ya watu bila ruhusa.
NB;Hukuwahi kusikia jamaa wenye microfibances/wakopeshaji wamekamatwa kwa kukutwa na kadi za benki za hao "wateja kharamu"?
 
Dah mimi mtu akinigusa kwenye kabila napita nae mazima
Aah! Kaka, utakuta mtu unaishi naye vema tu tena wewe ndiyo mwema kwake. Lakini utasikia ninyi kina fulani mpo hivi na hivi, anasema mabaya yenu tu mpaka mengine unashangaa.

Unabaki unajiuliza, hivi huyu hajui kulisema kabila ni kunisema Mimi, na hivi kuna hata dk 2 mi nilimfanyia haya ikiwa hizi ni tabia zetu?
Basi unapuuzia ili siku iishe, ila
"watu huwa hawasahau vile unavofanya wajisikie" Maya Angelou.
 
Hiyo ni sheria inakutaka.Ukipata kadi ya benki,NIDA,NEC nk, angalia nyuma na usome maelekezo.Yapo technical na unapaswa kuyaelewa kabla haujapandishwa kizimbani kwa kwa kumiliki mali ya watu bila ruhusa.
NB;Hukuwahi kusikia jamaa wenye microfibances/wakopeshaji wamekamatwa kwa kukutwa na kadi za benki za hao "wateja kharamu"?
Hapana
 
Aah! Kaka, utakuta mtu unaishi naye vema tu tena wewe ndiyo mwema kwake. Lakini utasikia ninyi kina fulani mpo hivi na hivi, anasema mabaya yenu tu mpaka mengine unashangaa.

Unabaki unajiuliza, hivi huyu hajui kulisema kabila ni kunisema Mimi, na hivi kuna hata dk 2 mi nilimfanyia haya ikiwa hizi ni tabia zetu?
Basi unapuuzia ili siku iishe, ila
"watu huwa hawasahau vile unavofanya wajisikie" Maya Angelou.
Kabisa ni kweli mimi nakutolea kauli chafu ili azidi kuongea vibaya
 
Back
Top Bottom