Wafanyakazi wa serikali changamoto

Wafanyakazi wa serikali changamoto

Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?

Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
Una matatizo hakika
 
Huo ni uongo kama kuna mtu mmoja kakusumbua usiwajuishe wote,,kulipa deni ni hulka ya mtu,,kama mtu siyo mlipaji hata awe hategemei mshahara atakuzima tu
 
Huo ni uongo kama kuna mtu mmoja kakusumbua usiwajuishe wote,,kulipa deni ni hulka ya mtu,,kama mtu siyo mlipaji hata awe hategemei mshahara atakuzima tu
Ila jau sana hii
 
Unakopesha wanaokumudu, ila ukimkopea unaemmudu lazima akilipe.

Akishapata mshahara wake, akifikiria wa kuanza kuwalipa akifikia kwako anajisemea "huyu nammudu ntampa mwezi ujao"
 
Umetujaribu na sisi Wastaafu lakini?

Suala la kurudisha Mkopo kwa Watanzania, ni suala gumu. Nina jamaa zangu nimewaazima kiasi fulani cha fedha, imetimia miezi 11 hawajarejesha 🙌

Ndiyo maana hata juzi Mama, kasema kwenye deni la Nchi la Trilioni 116

Kuna deni la Mzee Mwinyi alikopa Mwaka 1992

Imagine deni limekaa miaka 33 bila kulipwa 🙌
 
Back
Top Bottom