Wafanyakazi wa serikali changamoto

Wafanyakazi wa serikali changamoto

Nenda halmashauri anayofanyia muone HR wake amshughulikie. Ni kosa kisheria mtumishi wa serikali kukopa kwa watu binafsi mtaani. Ni lazima akope benki au taasisi inayotambulika na benki kuu TU!
Dah nitafanya ivyo
 
Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?

Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa

Wewe unavyokopesha, kwani wewe ni benki na kibali cha benki kuu?
 
Wengine sio kwamba hawana pesa za kulipa, ni kwamba hawataki tu kulipa
Sasa kama hapa kaniambia ana tuma toka saa tisa nikaanza kufanya booking up now holaaa
1756394413573.png
 
Siku nyingine mtu akikwambia anakutumia hela assume haujamsikia vizuri. Wewe endelea na maisha yako. Kama akikutumia sawa, asipokutumia mfuate aliko akupe pesa yako
Na kwazika sana kesho nataka kusafir af yeye ana niletea uswahili
 
Back
Top Bottom