Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #81
Dah jau sana hiiUkweli mi kwamba wenye uwezo wa kuwa na ziada ni wachache sana kulingana na maisha yetu ya kila siku
Dah jau sana hiiUkweli mi kwamba wenye uwezo wa kuwa na ziada ni wachache sana kulingana na maisha yetu ya kila siku
Duh kazi ngumuUlizia hata vijiweni hawawezi kukunyima stories.
Hakuna kazi nyepesi duniani.Duh kazi ngumu
NDIO MAANA NIKASEMA KWA MAONI YANGU, USIMSAIDIE MTU PESA AMBAYO KAMA AKICHELEWA AU ASIPOLITA ITAKUATHIRI WEWE BAADAE....So mimi now nani ana nitatulia shida
Mi naweza kumchana pia ama kumpuuza, na hii ya kumpuuza mtu ndiyo effective kwangu maana huwa napuuza haswaa.😂Kabisa ni kweli mimi nakutolea kauli chafu ili azidi kuongea vibaya
Ni kweliHakuna kazi nyepesi duniani.
Duh dawaNDIO MAANA NIKASEMA KWA MAONI YANGU, USIMSAIDIE MTU PESA AMBAYO KAMA AKICHELEWA AU ASIPOLITA ITAKUATHIRI WEWE BAADAE....
MFANO
UNA MILIONI 1 TAREHE 1 SPTEMBER
MATUMIZI HADI SEPTEMBER 20 NI LAKI 8
AKIBA LAKI 1
HALAFU KUNA LAKI 1 HII HAINA MATUMIZI
HALAFU TAREHE 1 OCTOBER UNAPATA MILIONI 1 NYINGINE
KWA MFANO HUU,KUNA LAKI MOJA AMBAYO HAINA MATUMIZI SEPTEMBER, HII NDO MTU AKIKUKOPA UNAWEZA KUMKOPESHA LABDA 30....MAANA AKICHELEWA KULIPA AU ASIPOLIPA HAITAKUATHIRI...
TOFAUTI NA HIVI, MWAMBIE HUNA PESA YA KUMKOPESHA
Ahahah kumpuuza mtu kwangu ni kwa majibu tuMi naweza kumchana pia ama kumpuuza, na hii ya kumpuuza mtu ndiyo effective kwangu maana huwa napuuza haswaa.😂
Nakubaliana na weweMkuu serikalini watu wanafata tu job security, uhalisia wana maisha magumu vibaya sana
Nikopeshe mimi mama ntilie sina shida kabisa kwenye kulipa 😀😀Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
Ndio kama hivi nalia lia hapaTatizo tunakopesha tunachokitegemea. Mtu unajijua pesa yako ya kuunga unga halafu unamkopesha mtu kama sio kutafuta lawama ni nini? Mambo ya kukipesha pesa waachie wenye uwezo na pesa ya ziada vinginevyo utakuja hapa kulialia
Wewe kuruti huaminiki wewe 😂Nikopeshe mimi mama ntilie sina shida kabisa kwenye kulipa 😀😀
Na wewe unaenda kuagiza ugali,unakula unalala mbele hadi deni liishe.Wewe kuruti huaminiki wewe 😂
Uzuri nikisumbua kulipa unakuja kula gengeni kwangu mpaka deni liishe halafu nakopa tena .Wewe kuruti huaminiki wewe 😂
Hahahaaa na ndio nilichokuwa namwambia pia🤣🤣🤣Na wewe unaenda kuagiza ugali,unakula unalala mbele hadi deni liishe.
Ahahah ugali wake hauiv 😂Na wewe unaenda kuagiza ugali,unakula unalala mbele hadi deni liishe.
Ahahhah ase sishibiUzuri nikisumbua kulipa unakuja kula gengeni kwangu mpaka deni liishe halafu nakopa tena .
Mi majibu yangu hayaendani na sura yangu ya kutia huruma Bro.Ahahah kumpuuza mtu kwangu ni kwa majibu tu