Sio kuipata tu kwa wakati mkuu, ni vita vinainuka kabisa unapomdai.
Mi nikawa namdai mdeni wangu fulani hivi.
Baadaye akaniuliza unatokea wapi?
Me: Mbeya.
Yeye: Nawe ni M.......(kabila)
Mi: Ndiyo.
Yeye: Hufananii yaani, kumbe ni M......., Wa.....hawapo hivo mbona.
Mi nikajua ni kijembe tu kisa namdai pesa yangu nikaishia toa tabasamu la uchungu.
Kidogo tu nimwambie sikufundwa miiko ya kabila letu kuishi na watu wa aina yenu.
Siku hizi hata kusaidia watu mmmh! Sidhani kama nitakuwa na hii tabia kwa kiwango kilekile.
Binadamu sisi mkuu 🙌🙌, kurudishana nyuma ni kwingi yaani.