Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,337
Kuitwa afsa na uitunze heshima yako kwenye jamii si mchezo.Akili mingi Inatakiwa.Dah jau sana hii
Kuitwa afsa na uitunze heshima yako kwenye jamii si mchezo.Akili mingi Inatakiwa.Dah jau sana hii
Kwenye swala la kukopesha pesa kwa sasa hivi sio kwa mtumishi wa serikali tu yaani kila upande pesa ni ngumu mnoYaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
Makuzi mkuu, kwenye vitu kama hivo mi huwa nakaa kimya, maana nikinena ndiyo basi tena.Uyo ulimchekea una mpa jibu akikuona akuogope
Tukistaafu,tutamlipa kwa mkupuo!Pesa hazitoshi mkuu, tunajibana sana. Inafika muda unaamua tu kikubwa home wanakula basi, mambo ya madeni tutayamaliza taratibu.
Kuna jinsi ya kumtisha.... we unafikiri unamwambia tu kilegevu eti naenda kwa mwajiri wako.... noooKuna watu ni manunda sugu.Hata ukienda,achilia mbali kumtishia Unapoteza muda tu.
Yaan uki mkopesha mtu wa serikali au anae tegemea mshahara kulipwa ni changamoto sana lazima msumbuane mshikane mashart sijui kwanini?
Kuna namna wanarudisha watu nyumaa sana kwanini mna kuwa wasumbufu emby jibuni hapa
Una kausha damu ngapi mkuu?Tukopeshe sisi wauza genge, ni walipaji wazuri
Ni kweliWatu ambao hamjaajiriwa huwa mnaact kama vile ni mtajiri
Ahahaa hii ina umizaTunakuwa na mikopo kwenye mabenki,tuvumilie tuu!
Acha basiKama ni walimu waambie wawe wanaancha kadi na psd ndo wenzako hufanya hivyo
Ni kosa kisheria kukaa na kumiliki kadi ya mtu mwingine.Kama ni walimu waambie wawe wanaancha kadi na psd ndo wenzako hufanya hivyo
Acha kaka ukiwa na tamaa unaenda na majiKuitwa afsa na uitunze heshima yako kwenye jamii si mchezo.Akili mingi Inatakiwa.
Mh kwa wafanyakaz naona wamezidKwenye swala la kukopesha pesa kwa sasa hivi sio kwa mtumishi wa serikali tu yaani kila upande pesa ni ngumu mno
Dah mimi mtu akinigusa kwenye kabila napita nae mazimaMakuzi mkuu, kwenye vitu kama hivo mi huwa nakaa kimya, maana nikinena ndiyo basi tena.
Na angeniogopa kweli
Duh wewe ume nistua japo nimecheka sanamtumishi wa uma akikufuata kutaka mkopo wewe muulize kwani umekosa ndugu wa karibu wa kumkopa kisha mwambie sina
Wakat mnaenda kuoa mke mwingineTukistaafu,tutamlipa kwa mkupuo!
Ahahah hii kali sanaKuna jinsi ya kumtisha.... we unafikiri unamwambia tu kilegevu eti naenda kwa mwajiri wako.... nooo
kwanza usimwambie kama unaenda kwa mwajiri. Amka zako mapemaaa wahi getini kazini kwake akukute pale sura umeikaza kiume. unajifanya unasubiri kuingia ..... akikuona atakuja kukupa salam
Hauwajui watumishi wa umma kwa kubebana wewe.Ukiwepo wanajidai kumsimanga,ukiondoka umeondka na deni lako.Halafu,hakuna mtumishi wa umma mwenye unafuu wa madeni hasa kipindi hiki cha miaka minane iliyopita.Kuna jinsi ya kumtisha.... we unafikiri unamwambia tu kilegevu eti naenda kwa mwajiri wako.... nooo
kwanza usimwambie kama unaenda kwa mwajiri. Amka zako mapemaaa wahi getini kazini kwake akukute pale sura umeikaza kiume. unajifanya unasubiri kuingia ..... akikuona atakuja kukupa salam
KivipNi kosa kisheria kukaa na kumiliki kadi ya mtu mwingine.
Hauwajui watumishi wa umma kwa kubebana wewe.Ukiwepo wanajidai kumsimanga,ukiondoka umeondka na deni lako.Halafu,hakuna mtumishi wa umma mwenye nafuu wa madeni hasa kipindi hiki cha miaka minane iliyopita.Kuna jinsi ya kumtisha.... we unafikiri unamwambia tu kilegevu eti naenda kwa mwajiri wako.... nooo
kwanza usimwambie kama unaenda kwa mwajiri. Amka zako mapemaaa wahi getini kazini kwake akukute pale sura umeikaza kiume. unajifanya unasubiri kuingia ..... akikuona atakuja kukupa salam