Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

Swali kubwa ni je wanarekebishika?
Hata kidogo?
Jibu ni ndio kama hii hali imempata akiwa kwenye mazingira flani mfano mafunzo maalumu ya jeshini. au vitani. na sehemu zenye machafuko huyo akipata Comfort Zone hata mimi nam sattle na kubrainwash anarudi sawa ila wale ambao ni tangu tumboni hao inaweza chukua muda hata mpaka uzee ukamkuta ujaweza mlekebisha na ikiwa hivyo basi ni asilimia 2.6 tu then anarudi kazini
 
Mkuu kuhusu makomando ur right kuna jamaa moja namfahamu mjeda sijui alipoteleaga wapi nadhani ndio huko mafunzoni yani kuna watoto wake tumekua nao walikua wanahesabu hawana dingi maana hata akirudi nikama hayupo vile mzee wa kujitenga na kusizi tu
Hata hivyo jeshini hao ni deal kubwa sana au kwa waasi maana hana hisia kama sisi ukiona kuku kachinjwa sokoni unapindisha shingo kwa huruma
 
try to be serious kidogo mkuu, yaan research ya miaka mi-4 ndio uandike utoto kama huu kweli ?.
mtu yeyote makini mwenye access na internet anaweza aka-spend few hours huko internet na kuleta bonge la uzi kuhusiana na kile ambacho ww umekitafiti kwa miaka mi-4.
sijui ni research ya aina gani mbovu-mbovu kama hii mtu anaweza kui-present mbele ya watu wazima na awaaminishe kuwa ni utafiti. { hivi unajua maana ya neno utafiti kweli ?}
af unaulizwa maswali unakimbillia kusema unaandaa uzi mpya, sasa maana ya huu uzi ni nn ?
umeokota definition ya SOCIOPATH huko unakuja kuibandika hapa, pasipo hata fafanuzi za kueleweka af unachanganya madesa ya SOCIOPATH na PSYCHOPATH yaan ni hovyo-hovyo tu.
yaan watt mliokuja hapa JF awamu ya tano{5} mna shida sana.

MADE IN MBY CITY
Aisee hata km ww Upo sahihi kabisa kwa 100%lkn namna unavoandika kwa majigambo inakera inaonekana labda Upo kundi la wapendasifa path ama wenyewivu path,
Dah aisee sifa km mzee wa kolomije,
Siyo poa,na si lazima kujibu kwa siiiiifa hasa kwa mtu msomi na makini,
Unachotakiwa kufanya ni ww kuweka ukweli hapa watu wajifunze lkn pia kumpongeza mleta ishu maana kaibua jambo,
Si lazima mtu akikujibu vibaya na ww utunishe misuli,kuna muda unatupia ukweli afu unakauka watu waone wenyewe,lengo ni kuelimisha si kushindana,
 
Mkuu huna haja ya kubishana sana na jamaa ndio maana kuna Negative na Positive yeye kadai ni Toleo la kwanza JF mimi la Tano its oky ila wote tuko in motion tu kama ni Pwani tunafika wote na hata Hiyo ishu aliyosema kama anaijua mbona hakutengeneza hata makala fupi ya dakika 5 kama yangu? mimi sijasema hii report ya utafiti wangu ila nimeona nikiwa naendelea na safari hii niwajuze na wasio fahamu sasa ubaya uko wapi? Hata niwe wrong ni binadamu pia nikosea sasa naona kajaa povu kama katoka kiwanda OMO mimi nafanya utafiti wa vitu vingi sana na sio hilo tu na hio sio report ni makala tu na siwezi weka report ya tafti zangu JF nitaweka Makala tu nayona inaweza saidia Jamii
 
you said it all mkuu
nashukur kwa kunielimishia kijana, maana naona bwana mdogo anaanza kuifananisha JF na FB kwa kutuletea habar zilizo na utapiamlo

MADE IN MBY CITY
Inaonyesha hata darasani kila somo kwako ilikuwa tatizo. nimesoma maelezo yako nimegundua shida kubwa ulionayo ni (MSONGO) Pole Mkuu mtafte Mauki C atakusaidia au kaa na watu wakupe chakula cha ubongo na kama nakosea ni tag kwenye uzi wako ambao JF imefundishika na watu wakaipenda Nakutumia Rand 300 kesho kwa western union Mkuu Alafu nimeshangaa unasema Ety JF na FB?? khaaaaaa hivi Facebook watumiaji B na hii JF watumiaji M ulinganishe?? nadhani huijui fb kaka sema upewe nyenzo au umelike page za kidaku ndio unafananisha watumiaji wote wa FB ni mburula kama wewe?? Shame on you FB kwa taarifa yako ukipekuwa kwa umakini hata uwezi shinda JF kalili gari la mafuta tu wakati siku hizi na magari ya Wine yapo
 
Na imagine anakuwa housegirl mtu wa hivo ukimzingua visasi vinaishia kwa watoto Mungu utusaidie hivi nawezaje kumtambua?
 
mkuu mimi napenda sana kuchinja kuku huwa naskia raha vile anavokata roho sasa watu wasije kunihisi vibaya bwana
 
mkuu mimi napenda sana kuchinja kuku huwa naskia raha vile anavokata roho sasa watu wasije kunihisi vibaya bwana
Haha unaweza kutomuonea Huruma mama yako mzazi akisema ana umwa Kichwa? Tuanzie Hapo ili twende sawa
 
Back
Top Bottom