Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

Angalia utaitwa mchochezi

Btw kweli watu wa hivyo wapo ila sikujua kuwa wanaitwa hivyo

Mtu anamtongoza binti then anakula papuchi akimaliza anamuua
 
Mkuu nipe ka elimu kidogo tofauti kati ya hao sociopath na ma sadist natanguliza shukrani
Asante Mkuu Tofauti kuu ya hawa sadist na Sociapath ni mbili tu au zaidi moja ni kwamba sadist anaweza akapatwa na hali ya uoga akashindwa fanya jambo husika ila Sociapath hana uoga na hajawahi kuwa muoga kutekeleza shauri lake ila nadhani nitaelezea makala ijayo kwa undani hilo swala la sadist Mkuu
 
Angalia utaitwa mchochezi

Btw kweli watu wa hivyo wapo ila sikujua kuwa wanaitwa hivyo

Mtu anamtongoza binti then anakula papuchi akimaliza anamuua
Wapo mkuu na nitakupa excluesive nyingine juu hawa watu na wanavyoishi
 
Hee... Mmh... usikute na mimi ni mmoja wao.. baadhi ya mambo ninayo hapo... sema kuhusu uongo sina hiyo p
 
Hee... Mmh... usikute na mm n mmoja wao.. baadhi ya mambo ninayo hapo... sema kuhusu uongo sina hiyo p
Uongo unaozungumziwa ni wa level za juu sana sio ule wa Nakupenda kumbe unatamani
 
kwa jinsi nilivyokuelewa mimi mleta mada ni kwamba hawa sociopath wanazaliwa hivyo ila je hamna sababu zinazoweza mpelekea mtu wa kawaida kuwa sociopath?
 
Yupo swahiba wangu mmoja anakidhi vigezo vyote vya kupewa jina hilo mwanzoni sikujua na nikawa najitoa sana kwake nikiamini tunafanya kwa ajili yetu na ustawi wa familia zetu kumbe bwana yule hafai kabisa pana siku hakujua kama nipo akawa anaongea na jamaa katika simu si kuniua huko si kuniponda huko baadae akaja kujua kuwa nilikuwapo aliingiwa na ubaridi sana.
 
kwan socialpath huwa wanajijuaa kama wao ni socialpath??? je na kama hawajijui kwanini useme wanajificha
 
Mimi pia nina ndugu yangu wa damu wa kike ni type hizo yani uwezi zania kabisa ukimuona na hadi nimeandika hii kitu naijua kabisa nitaendelea kudadavua kiundani ila wapo wengi duniani na wao hufaamiana na wanasiku yao maalumu ya kuua
Huyo dada yako ni mwalimu? isije akawa tunamzunguzia mtu mmoja!
 
Hawa watakuwa ni mawakala wa shetani. ni kweli wepesi sana kusema. nisamehe! na kuahidi kubadirika! mkiwa kwenye uhusiano anaweza kukwambia kuwa. alikuwa kwenye uhusiano mbaya huko nyuma, hivyo hio hali ndio inayopelekea yeye kuwa hivyo! kumbe ni uongo! alafu nasikia kuwa wakishagundua kuwa huyo mtu sio rahisi kumudhuru. wepesi wa kivunja uhusiano!? ya kweli haya mleta mada?
 
You are confusing the two; sociopath na psychopath

Ingawa kuna similarities, ila what the article is describing ni mostly psychopathic behaviour

Halafu the show Dexter is about a psychopath na sio sociopath

Na another great misconception ni kuwa sociopaths na psychopath wote ni wabaya, wala that is not the case

Na not all serial killers ni sociopath au psychopaths
 
kwa jinsi nilivyokuelewa mimi mleta mada ni kwamba hawa sociopath wanazaliwa hivyo ila je hamna sababu zinazoweza mpelekea mtu wa kawaida kuwa sociopath?
Zipo nyingi sana mkuu Na huwa ni mbaya zaidi ya hii ya kuzaliwa nayo mfano mtu anaenda jeshini akitoka huko sio yule tena aliekuwa kabla hajaenda jeshini hata mapenzi pia hutoa product hii mkuu unashangaa tu mtu kaua au kafanya chochote na ana fill good kwa upande wake
 
Back
Top Bottom