Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

Yupo swahiba wangu mmoja anakidhi vigezo vyote vya kupewa jina hilo mwanzoni sikujua na nikawa najitoa sana kwake nikiamini tunafanya kwa ajili yetu na ustawi wa familia zetu kumbe bwana yule hafai kabisa pana siku hakujua kama nipo akawa anaongea na jamaa katika simu si kuniua huko si kuniponda huko baadae akaja kujua kuwa nilikuwapo aliingiwa na ubaridi sana.
Pole sana
 
You are confusing the two; sociopath na psychopath

Ingawa kuna similarities, ila what the article is describing ni mostly psychopathic behaviour

Halafu the show Dexter is about a psychopath na sio sociopath

Na another great misconception ni kuwa sociopaths na psychopath wote ni wabaya, wala that is not the case

Na not all serial killers ni sociopath au psychopaths
Mkuu umechanganya madesa hebu andaa uzi wa hao watu wawili alafu tuwachambue maana mimi tayari niko ķwenye reseach mwaka wa nne huu nawajua hao wote wawili wanafanyaje na psychopath uzi wao nauandaa utajua utofati
 
Hawa watakuwa ni mawakala wa shetani. ni kweli wepesi sana kusema. nisamehe! na kuahidi kubadirika! mkiwa kwenye uhusiano anaweza kukwambia kuwa. alikuwa kwenye uhusiano mbaya huko nyuma, hivyo hio hali ndio inayopelekea yeye kuwa hivyo! kumbe ni uongo! alafu nasikia kuwa wakishagundua kuwa huyo mtu sio rahisi kumudhuru. wepesi wa kivunja uhusiano!? ya kweli haya mleta mada?
hao ni wale wa waliokuwa na hii hali ukubwani ila hawa ambao ni asili yao tangu utotoni ni ngumu kukuacha hai na na huwa hawajitambulishi kuwa waliteswa nyuma
 
hao ni wale wa waliokuwa na hii hali ukubwani ila hawa ambao ni asili yao tangu utotoni ni ngumu kukuacha hai na na huwa hawajitambulishi kuwa waliteswa nyuma
Sawa kabisa! huyu ninae mjua mimi. huwa anasema hivyo!
 
Nimependa sana mada yako! Mungu akubariki umalize salama huo utafiti wako! tena Mungu akupe mafanikio makubwa ktk utafiti wako!
 
You are confusing the two; sociopath na psychopath

Ingawa kuna similarities, ila what the article is describing ni mostly psychopathic behaviour

Halafu the show Dexter is about a psychopath na sio sociopath

Na another great misconception ni kuwa sociopaths na psychopath wote ni wabaya, wala that is not the case

Na not all serial killers ni sociopath au psychopaths
Most mental health professionals define a psychopath as a predator who takes advantage of others using charm, deceit, violence and other methods to get what they want.
 
Mkuu social path,nadhani kama jina lenyewe,ni antisocial hawapendi watu,ila wale wanaouani ma psychopath,sijui lakini................

afu mbona umefunga PM yako bwana...
 
sidhani kama wanaenda kote mpaka kuua mtu,wao ni antisocial hawana urafiki na mtu,ila kuua nadhani ni ma psychopath....sijui lakini...
Most mental health professionals define a psychopath as a predator who takes advantage of others using charm, deceit, violence and other methods to get what they want. sasa sijui unazungumzia au kukanusha nini hebu lete nondo tujifunze maana mwaka wa nne nahangaika na hawa watu
 
Back
Top Bottom