Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

try to be serious kidogo mkuu, yaan research ya miaka mi-4 ndio uandike utoto kama huu kweli ?.
mtu yeyote makini mwenye access na internet anaweza aka-spend few hours huko internet na kuleta bonge la uzi kuhusiana na kile ambacho ww umekitafiti kwa miaka mi-4.
sijui ni research ya aina gani mbovu-mbovu kama hii mtu anaweza kui-present mbele ya watu wazima na awaaminishe kuwa ni utafiti. { hivi unajua maana ya neno utafiti kweli ?}
af unaulizwa maswali unakimbillia kusema unaandaa uzi mpya, sasa maana ya huu uzi ni nn ?
umeokota definition ya SOCIOPATH huko unakuja kuibandika hapa, pasipo hata fafanuzi za kueleweka af unachanganya madesa ya SOCIOPATH na PSYCHOPATH yaan ni hovyo-hovyo tu.
yaan watt mliokuja hapa JF awamu ya tano{5} mna shida sana.

MADE IN MBY CITY
Sawa mkuu tumekuelewa,lkn nenda taratibu katika kumsahihisha mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hata km ww Upo sahihi kabisa kwa 100%lkn namna unavoandika kwa majigambo inakera inaonekana labda Upo kundi la wapendasifa path ama wenyewivu path,
Dah aisee sifa km mzee wa kolomije,
Siyo poa,na si lazima kujibu kwa siiiiifa hasa kwa mtu msomi na makini,
Unachotakiwa kufanya ni ww kuweka ukweli hapa watu wajifunze lkn pia kumpongeza mleta ishu maana kaibua jambo,
Si lazima mtu akikujibu vibaya na ww utunishe misuli,kuna muda unatupia ukweli afu unakauka watu waone wenyewe,lengo ni kuelimisha si kushindana,
Kweli kabisa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka na Yakobo azidi kukutunza. Ulichonacho rohoni nimekipata kwa uzito uleule ulioukusudia wasomaje wako wakipte. Yaani unazo kabisa sifa zote za mtu aliyekasimishwa mamlaka na Mungu, ya kutunza watu wake hapa duniani kuhakikisha wanaendelea kuwa hai!
Asante mkuu.... Ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom