Dexter Morgan katika tamthilia iitwayo DEXTER anaonyesha tabia
zinazotambulisha Sociopaths. Itazame hiyo tamthilia kwa kujiongezea
ujuzi kuhusu watu hawa hatari waitwao sociopaths.
Hii ni kwa mujibu wa mtaalamu aitwaye Paul Rosenberg na references nyingine. Atakayetaka makala nzima aniambie email yake ntamtumia.
Kwanza sociopath ni nani ? A sociopath: is an otherwise normal human who has a profound lack of empathy for the feelings of others. Yaani sociopath kwa asili yeye haoni huruma kwa mtu yoyote yule. Hata hivyo sio lazima ajionyeshe wazi wazi kuwa hana huruma, hujificha ili kutimiza hitaji lao la kumpata mtu wa kumtenda.
Kwakuwa wao hawana hisia zozote za huruma wala mapenzi, inawalazimu hao sociopath kuiga watu wa kawaida wanavyoishi. Na kwakuwa hatutilii maanani jinsi watu wanavyoonekana , ni ngumu kutambua nani haswa ni sociopath, nani siye.
Ni shida kumjua sociopath kwakuwa
1. Wengi wetu tunaamini kila mtu ni mzuri, wakati ukweli kuna watu 100% ni wabaya tuu, ni muda tuu unawasubirisha kufanya ubaya wao.
2. Sio wengi sana inakadiriwa 2% ya watu wote ni sociopath mahesabu ambayo pia yanasemwa kuwa kati ya watu 50 mmoja ni sociopath
3. Lingine kwakuwa wao hawana hisia yoyote wao hawajisikii vibaya kudanganya, jambo linawapelekea kutokutambulika uongo wao hata kwenye LIE DETECTERS, zile mashine za kutambua kama mtu anasema uongo au la.
Baada ya kueleza hapo juu kwanini ni ngumu kwa watu wengi kumtambua sociopath tuone jinsi ya kumtambua.
1. Kama unasoma hii kitu tayari unafaida ya kumtambua sociopath kwakuwa wao hutumia kutokujua kwetu kuwa wao wapo. Ile imani kuwa kila mtu mzuri hutuharibu na kutuweka hatarini kudhurika na sociopath. Hivyo kila wakati tambua kusoma jinsi mtu anavyobehave.
2. Pamoja na kwamba sociopath huiga kuonekana wapo wa kawaida, huwa wanashindwa kwa asilimia 100 kuonyesha huruma na upendo. Ingawa wengine huwa na wenza wa ndoa, na hata watoto, ila chunguza namna wanavyoonyesha hisia zao haswa utagundua utofauti mkubwa. Vitu vya kuangalia ni namna wanavyojali wapenzi wao, watoto, mambo ya misiba na mijumuiko ya kijamii, pamoja na kuweza kufeki, ila ukia ngalia kwa makini utajua kuna walakini.
3. Kwakuwa sociopath kiasili hujisikia raha kudhuru wengine , chunguza watu ulionao karibu je hujisikia raha kusingizia wengine, au hufanya matendo yasiyo ya kihuruma na hawaonyeshi kujutia, n.k .
4. Wazungu wanasema "when the deal is so good, think twice". Kuwa makini na watu wanaojifanya wema sana.
5.Kwakuwa wanahitajika kujificha, hujitengenezea mazingira ya kutokutambulika na kuiaminisha jamii kuwa ni watu safi, kiasi kwamba hata ukija sikia wamefanya hivyo utashangaa. Wengi wa wanasiasa na viongozi wa asasi mbalimbali inasemekana ni sociopath.
Chunguza maamuzi ya wanasiasa wengi yasivyo na huruma. Mfano wa viongozi maarufu ni Mao Tse-tung ambaye ni baba wa taifa la CHINA anayedaiwa kubaka na kuua watu wengi kwa njaa. Mwingine ni kiongozi wa zamani wa shirika la utangazaji la BBC anaitwa Jimmy Savile ,yeye alikuwa na genge la udharirishaji wa watoto. Aliendesha genge lake kwa miaka 40 bila watu kujua, mpaka alipofariki.
Baadhi ya maswali ambayo watu wengi huuliza:
Je unajitambua kama wewe ni Sociopath ?
Waweza jipima kama wewe ni sociopath au la. Je, unapata ugumu kuwaonea wengine huruma ? Je unapenda kuona wengine wanateseka au haujisikii lolote mtu mwingine anapoteseka ? Je, kwa makusudi umewahi kutaka kumfanyia "kitu mbaya" mtu ?
Je, sociopath kuna kitu kinatokea unakuwa triggered?
Sio lazima kitu kitokee wawe triggered, kumbuka hawa sociopath hawana hisia zozote Je sociopath ni wazungu tuu kwa kuwa wazungu labda wanakuwa lonely so hawana cha kufanya kiasi kwamba wananyemelewa na hizo hisia?
Sociopath hajisikii lonely. Hajui hizo hisia za kuwa lonely , hajisikii kutaka kupendwa, hajisikii chochote.Huyo ndio real sociopath. Hata hivyo SIO kila mtu mwenye kufanya jambo la ukatili ni sociopath. Kuna wanaofanya jambo baya wakajutia, pengine kwa hasira , au visasi. Ila sociopath yeye , kufanya ubaya ni "hitaji" lake muhimu.
Serial Killers wote ni sociopath. Serial killers ni wale wanaojitengenezea orodha ya. watu wanaowaua. Ni hatari sana hawa watu, kwani sio lazima watumwe kuua. Ni kwamba wanajitengenezea sababu zao kichwani mwao zinazowatosha basi.
Hata hivyo SIO kwamba sociopaths wote ni serial killers.
KWA MAOMBI YA WENGI HII ITAENDELEA KUWACHAMBUA KIUNDANI ZAIDI. HUKU NA MIMI NIKIWA NAFANYA UTAFITI JUU YA HAWA WATU NAPATA MAMBO MENGI SANA NA YA KUTISHA NDANI YA HAWA WATU
Warnings
Sociopaths are great liars because they have no conscience. So they will use all excuses for their actions in order to avoid being discovered for who they really are.
Sociopaths are less prone to emotion and so can use your emotion against you. It is most effective to deal with people in terms they understand; so, if you must deal with a sociopath, leave your emotions/feelings at the door or they will control you.
try to be serious kidogo mkuu, yaan research ya miaka mi-4 ndio uandike utoto kama huu kweli ?.
mtu yeyote makini mwenye access na internet anaweza aka-spend few hours huko internet na kuleta bonge la uzi kuhusiana na kile ambacho ww umekitafiti kwa miaka mi-4.
sijui ni research ya aina gani mbovu-mbovu kama hii mtu anaweza kui-present mbele ya watu wazima na awaaminishe kuwa ni utafiti. { hivi unajua maana ya neno utafiti kweli ?}
af unaulizwa maswali unakimbillia kusema unaandaa uzi mpya, sasa maana ya huu uzi ni nn ?
umeokota definition ya SOCIOPATH huko unakuja kuibandika hapa, pasipo hata fafanuzi za kueleweka af unachanganya madesa ya SOCIOPATH na PSYCHOPATH yaan ni hovyo-hovyo tu.
yaan watt mliokuja hapa JF awamu ya tano{5} mna shida sana.
try to be serious kidogo mkuu, yaan research ya miaka mi-4 ndio uandike utoto kama huu kweli ?.
mtu yeyote makini mwenye access na internet anaweza aka-spend few hours huko internet na kuleta bonge la uzi kuhusiana na kile ambacho ww umekitafiti kwa miaka mi-4.
sijui ni research ya aina gani mbovu-mbovu kama hii mtu anaweza kui-present mbele ya watu wazima na awaaminishe kuwa ni utafiti. { hivi unajua maana ya neno utafiti kweli ?}
af unaulizwa maswali unakimbillia kusema unaandaa uzi mpya, sasa maana ya huu uzi ni nn ?
umeokota definition ya SOCIOPATH huko unakuja kuibandika hapa, pasipo hata fafanuzi za kueleweka af unachanganya madesa ya SOCIOPATH na PSYCHOPATH yaan ni hovyo-hovyo tu.
yaan watt mliokuja hapa JF awamu ya tano{5} mna shida sana.
Asante Mkuu Tofauti kuu ya hawa sadist na Sociapath ni mbili tu au zaidi moja ni kwamba sadist anaweza akapatwa na hali ya uoga akashindwa fanya jambo husika ila Sociapath hana uoga na hajawahi kuwa muoga kutekeleza shauri lake ila nadhani nitaelezea makala ijayo kwa undani hilo swala la sadist Mkuu
Majibu ni haya kumtengeneza inawezekana ndio maana kuna hao watu maalumu kwa kazi hiyo wanapikwa kwanza hata jeshini ndio hao unasikià makomando. Survival huyu nae kama anafanya kwa ubora mambo yake nae anaingia kundi hilo kama zile hisia nilizotaja hapo juu hana hata moja au alipikwa na hizo hisia zikapotea kabisa
Mkuu kuhusu makomando ur right kuna jamaa moja namfahamu mjeda sijui alipoteleaga wapi nadhani ndio huko mafunzoni yani kuna watoto wake tumekua nao walikua wanahesabu hawana dingi maana hata akirudi nikama hayupo vile mzee wa kujitenga na kusizi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.