miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
sawa mkuuu nitachekiKuna movies hureflect ukweli. Angalia Snipper reloaded au Sniper 1, 2 and 3 za Thomas Bennett

sawa mkuuNdio mfano halisi ila sio wa kwny BONGO MUVI
mafunzo yote na umakin wt huo n kwaajil 2 ya kuondoa uhai wa binadamu tu...!
Hahahaha nimeona huu uzi nikakumbuka THE BATTLE OF STALINGRAD.. Ndio sehemu ambayo ilipiganwa vita kubwa na mbaya zaidi wakati wa vita ya pili ya dunia. Inasemekana hakuba sehemu imepiganwa vita kali katika historia ya dunia kama Stalingrad..
Marked by constant close quarters combat and direct assaults on civilians by air raids, it is often regarded as the single largest and bloodiest battle in the history of warfare.[12] The heavy losses inflicted on the German Wehrmacht make it arguably the most strategically decisive battle of the whole war.[13] It was a turning point in the European theatre of World War II; German forces never regained the initiative in the East and withdrew a vast military force from the West to replace their losses.
Vita iligeuza mji kuwa magofu na udongo.. Hakuna jengo lililobaki salama..
Wikipedia
Kichwa Ndio MtuNa ni kwa nini hawa wadunguaji wanadili na kichwa tu?
Kama unamheshimu mwalimu kwa kufundisha, daktari kwa kutibu, muheshimu sniper kwa kazi yake murua na ya kizalendo
Hahahaha nimeona huu uzi nikakumbuka THE BATTLE OF STALINGRAD.. Ndio sehemu ambayo ilipiganwa vita kubwa na mbaya zaidi wakati wa vita ya pili ya dunia. Inasemekana hakuba sehemu imepiganwa vita kali katika historia ya dunia kama Stalingrad..
Marked by constant close quarters combat and direct assaults on civilians by air raids, it is often regarded as the single largest and bloodiest battle in the history of warfare.[12] The heavy losses inflicted on the German Wehrmacht make it arguably the most strategically decisive battle of the whole war.[13] It was a turning point in the European theatre of World War II; German forces never regained the initiative in the East and withdrew a vast military force from the West to replace their losses.
Vita iligeuza mji kuwa magofu na udongo.. Hakuna jengo lililobaki salama..
Wikipedia
Kama ni hivyo, kwanini hakuna bullet proof ya kichwa, naona wanavaa kifuani tu?