Wafahamu snippers/walenga shabaha

Wafahamu snippers/walenga shabaha

Sasa tuzungumzie wale wa pair yule anayekuwa hajashika bunduki anakua anampa maelekezo gani yule mwenye bunduki ilihali wote wana viona mbali? Au msaada wake hasa unakua upi ktk kutimiliza misheni yao?
 
yule wa pili anakua anampa maelekezo na kutazama sehemu zinazo zunguka target. pia kuna maeneo ambayo risasi itasumbuliwa na upepo pia ni kazi ya mtu wa pili kumpa maelekezo sniper. tazama movie ya sniper reloaded 2 mwanzoni kabisa utaona kazi anayofanya yule dada...
 
yule wa pili ni kama mshauri. moja ya mafunzo makubwa ya snipers ni kuhakikisha hawakamatwi. yule wa pili anamsaidia mengi kama kumpa go ahead, n.k kwa sababu nae anaona target.
 
Kama sikosei nyingine ni ENEMY AT THE GATES.

"my name is Nikita segyevich i've to take things on hand here,this is Stanlingrad,this city is not kiev nor moscow. This city bears thy name of the Boss n if this will be captured the whole country will collapse. And now i'want boys to stop shitting their pants"

Kamanda la kirusi hilo likiunguruma kwa askari wake ndani ya Enemy at the gates afu baadae ndo sniper Vassil anakuwa introduced.

Bonge la movie
 
....ha ha haaa!!!!..Kama naliona vile lile "kamanda la kirusi". Yule sniper wa kijerumani naye si mchezo.
 
Yule sniper wa kijeruman alikuwa na cheo cha major,nilisikitika sana alipomnyonga yule dogo Sasha.

Unakumbuka alivyowadungua wale makamanda mpaka ujerumani ikaleta mtu maalumu(sniper) ili kumu-eliminate mdunguaji wa kirusi?
 
Sasa tuzungumzie wale wa pair yule anayekuwa hajashika bunduki anakua anampa maelekezo gani yule mwenye bunduki ilihali wote wana viona mbali? Au msaada wake hasa unakua upi ktk kutimiliza misheni yao?
Huyu huwa anapima spidi ya upepo, umbali na angle aliyepo target, Kwa ufupi ni mwanamahesabu!
 
Unakumbuka alivyowadungua wale makamanda mpaka ujerumani ikaleta mtu maalumu(sniper) ili kumu-eliminate mdunguaji wa kirusi?

Daah mkuu nakumbuka sana, mdunguaji wa Kirusi aliitwa Vassil. Aliwadungua wale makamanda wa kijeruman balaa,wengine walikuwa wakioga.

Wajeruman ndipo walipomleta yule sniper major ambaye huko kwao ndo alikuwa mkufunzi wa ma-sniper.

Utamu ndo ulianzia hapo
 
Umeshaiangalia mara ngapi kiongozi?
Naona umeimeza kweli. Vipi unakumbuka wakati jamaa kaenda hospitali kumuulizia mpenzi wake na alivyokuwa akikataliwa na wauguzi kuwa hakuna mtu kama yule pale hospitali?(teh teh!! tunaharibu uzi wa watu)
 
Back
Top Bottom