Wafahamu snippers/walenga shabaha

Wafahamu snippers/walenga shabaha

Kuna mzee tulikuwa naye ofisini nikawa namuuliza maswali magumu magumu kama haya, siku moja akanijibu hivi,

"Unajua soon utakuwa baba, haya maswali inabidi uwe unajua majibu yake maana watoto watakuwa wanakuuliza, mimi sitakujibu fanya homework yako mwenyewe."

Ha ha haaa tatizo la maswali magumu yana majibu mengi alaf majibu yenyewe yanakua marahisi sana. Umenifurahisha sana mkuu!
 
Mkuu kwa kutaka kujua zaidi, mara nyingi wale wanaokua na kazi maalum unakuta ana risasi moja tu na akipiga hata kama amekosa ndio anafunga ubalozi (Anaondoka) hiyo ni sheria au katika kuhakikisha unaongeza umakini?

Si kweli kua akikosa moja huondoka. Pale unachofanya ni kuona kana target ame-identify location yako na ukigundua kajua ulipo u may make a second shot japo principal ni one shot one kill.
 
sniper_267975.jpg
 
Si kweli kua akikosa moja huondoka. Pale unachofanya ni kuona kana target ame-identify location yako na ukigundua kajua ulipo u may make a second shot japo principal ni one shot one kill.

Nafikiri umemalizia sahihi zaidi kwa one shot one kill. Hapa aina ya mission na umuhimu wake unahusika sana. Kwa mfano, kama mhusika ni mkuu wa nchi au mtu maarufu mwenye ulinzi mkali, ukimkosa moja hauwezi kujaribu tena kwa sababu tafrani yake ni balaa.
 
Na ni kwa nini hawa wadunguaji wanadili na kichwa tu?

Nadhani ukipiga kichwa uwezekano wa mlengwa kupona ni mdogo sana. Pia kichwa ukilenga ni ngumu kwa mlengwa kutoa ishara ambayo itashtua na wengine. Yaani hiyo mtu akipigwa huwa anadondoka chini hapohapo na ni kimya kimya tuu.
 
Ha ha haaaa. Kama ulikuwa mzuri kwa kuwatungunyua ndege kwa manati, basi upo vzr kwenye fani hii

haaa haa sio masikhara mkuu, hata hii ndege ya urusi iliyodondoka juzi hapo sinai(egypt) ni mimi nime accomplish that mission.
 
haaa haa sio masikhara mkuu, hata hii ndege ya urusi iliyodondoka juzi hapo sinai(egypt) ni mimi nime accomplish that mission.

Copy And Clear Leo Tuna Kudungua Na Wew Ubongo
 
Kama ni hivyo, kwanini hakuna bullet proof ya kichwa, naona wanavaa kifuani tu?

Siku hizi kuna suti, mabegi ya laptop, leso, kofia zenye muonekano wa kawaida, na fulana za kawaida ambavyo ni bullet proof.
Kofia hii hapo chini, ni bullet proof completely.
 
Attachments

  • 1447327628241.jpg
    1447327628241.jpg
    19.4 KB · Views: 2,066
Siku hizi kuna suti, mabegi ya laptop, leso, kofia zenye muonekano wa kawaida, na fulana za kawaida ambavyo ni bullet proof.
Kofia hii hapo chini, ni bullet proof completely.

Vinaundwa kwa namna gani mpaka kuweza kuzuia kupenya risasi?
 
Back
Top Bottom