miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
asante mkuuuMiss chaga umetisha kila eneo upo with positive contribution big up mamaa
asante mkuuuMiss chaga umetisha kila eneo upo with positive contribution big up mamaa
), umilikaji wa silaha (huweze kuimudu, nguvu, kuhifaham silaha yako, kutanzua vipingamizi), field works n. K. Katik moviez za sniperz,Kuna movies hureflect ukweli. Angalia Snipper reloaded au Sniper 1, 2 and 3 za Thomas Bennett
Sasa tuzungumzie wale wa pair yule anayekuwa hajashika bunduki anakua anampa maelekezo gani yule mwenye bunduki ilihali wote wana viona mbali? Au msaada wake hasa unakua upi ktk kutimiliza misheni yao?
yule wa pili anakua anampa maelekezo na kutazama sehemu zinazo zunguka target. pia kuna maeneo ambayo risasi itasumbuliwa na upepo pia ni kazi ya mtu wa pili kumpa maelekezo sniper. tazama movie ya sniper reloaded 2 mwanzoni kabisa utaona kazi anayofanya yule dada...
Kuna niliyojifunza hapaHuyu huwa anapima spidi ya upepo, umbali na angle aliyepo target, Kwa ufupi ni mwanamahesabu!
malizia kwa kuandika "binadamu ambae usipomuwahi wewe,ujue kakutanguliza kwa baba yeye"mafunzo yote na umakin wt huo n kwaajil 2 ya kuondoa uhai wa binadamu tu...!
Sniper ultimate kill
The gun man
Shooter
Mkaziangalie hizo movie
Baada ya miaka 30 ijayo hii teknolojia itazaaa alshabab hii nchi yetu maana watu wa saivi wana kula tu ma elimu mtandao itafka muda wata anza implement kile walichokisoma na jifunza.Snipers kwanza ni special force, special wapo aina mingi hawa ni miongoni mwao.
Watu wanasema tu. Mm ni sniper, napenda kuwa sniper, bt inahitaji mafunzo na kujitoa kwa hali ya juu kufuzu mafunzo hayo.
Sifa, huwe stable. Macho yasiyo na shida, mwili na akili. Pia, kuwa extra sense (machale), kujua kusoma watu n.k
Kwa kifupi, mafunzo yao ni ya awamu, sitongia humo, kuelezea in details, bt lazima pumzi ziwepo sana (mambo yakutumbukizan kwenye maji), umilikaji wa silaha (huweze kuimudu, nguvu, kuhifaham silaha yako, kutanzua vipingamizi), field works n. K.
Lakin kwa ujumla, sniper ukiachia mbal na shabah, maficho ndio muhim sana. Wapi akae asionekan na watu au hata na sniper wenzie, wap ambapo atapata view yote na kwa ukubwa zaidi. In n out ways aweze kuzisom, kifupi juu ya mazingira.
Mambo ni mengi humo........
Wajerumani wana roho mbaya by natureYule sniper wa kijeruman alikuwa na cheo cha major,nilisikitika sana alipomnyonga yule dogo Sasha.
Major korwig huyoo hatariYule sniper wa kijeruman alikuwa na cheo cha major,nilisikitika sana alipomnyonga yule dogo Sasha.
Tunachokisem ni kidgo mno, haiwezi kumjenga mtu kama unavyi dhani.Baada ya miaka 30 ijayo hii teknolojia itazaaa alshabab hii nchi yetu maana watu wa saivi wana kula tu ma elimu mtandao itafka muda wata anza implement kile walichokisoma na jifunza.
Tanzania hii ya leo bado ina watu damu baridi ila haya ma elimu elimu haya yanaonekana simple tu ila yatazaa watu hatari sana
sawaTunachokisem ni kidgo mno, haiwezi kumjenga mtu kama unavyi dhani.
Si rahisi hivo. Roger out
Gudsawa
Sio snipers wale....... Wale ni shooterz wa kawaida tu.. ..Wale ma-sniper wa Lissu hawakuwa wamefuzu mafunzo labda ilikuwa ni moja ya trainings zao maana siyo kukosa kwa vile.
Wale ma-sniper wa Lissu hawakuwa wamefuzu mafunzo labda ilikuwa ni moja ya trainings zao maana siyo kukosa kwa vile.