Nyie mnadanganyana bila fact kama unaishi mbeya nakukaribisha kwenye farm halafu mamba 3 tunawaweka halafu tuone kama atakimbiza MTUHapana ninakukatalia....mamba anakimbiza hata gari sembuse binadamu...it is the most aggressive snake of all
Nimetizama video yote Austin akielezea tu lkn hakuna sehemu mamba akimgonga simba ,baada ya njia kuwa blocked mamba akasepa zake kwa njia nyingineMbona sijaona akimng'ata sasa?
Hii picha sio kweliView attachment 724313
Mfalme wa pori mwenyewe kanyoosha na kawa mweusi,wakati koboko mwenyewe bado mdogo tu.
Tumekaa na nyoka kwenye snake farms tumeishi nao ,hakuna mamba huyo story tu za mitandaoniAcha kudanganya watu mkuu. Mimi mwenyewe ni shuuda
Fungua video ambazo hazikueditiwa utaona koboko akivyomgonga huyo simba akiwa bado yuko hai.Nimetizama video yote Austin akielezea tu lkn hakuna sehemu mamba akimgonga simba ,baada ya njia kuwa blocked mamba akasepa zake kwa njia nyingine
Snake farms?sisi tulikuwa wawindaji wa mapori makuu..eti snake farms.Tumekaa na nyoka kwenye snake farms tumeishi nao ,hakuna mamba huyo story tu za mitandaoni
Inawezekana ...lakini lisemwalo lipoStori za abunuwasi
Vipi mbio! Haziwezi kuwa na msaada wowote? Hata ukifunga turbo?Ni kweli kabisa, kutana na hao wengine wote Ila sio koboko, ukizisoma tafiti zao, hao nyoka wengine hujaribu kuepusha shari hata ukikutana nae.
Koboko yeye huepusha shari asikutane na wewe kabisa, Ila sasa akikuona tu, hajui kama uliingia anga zake kwa bahati mbaya ama la, yeye ni tifu kwa kwenda mbele. Kwa kifupi, tofauti na hao wengine, yeye ukikutana nae sali sala zako za mwisho.
Nyoka kwenye nyasi utampenda speedView attachment 724314
Koboko ambae bado hajakomaa anatafuta maji ya kunywa
Haswa koboko anambio kuliko nyoka woote duniani.Nyoka kwenye nyasi utampenda speed
Nyoka gani kapaka lipstick,koboko ni mwisho wa maneno,sema tu kwasababu anaishi afrika.
Eee ni kweli wale wa dar wana aibu sanaNasikia nyoka wana aibu sana[emoji23]
Nenda mtandaoni kasome facts zakeHaha! Sio kweri
Mkuu huo msitu hatar sana koboko wa pale wanapenda sifa balaahWewe unaongelea wale koboko wa kwenye magazeti!ingia pori la ipembampasi huko tabora ukajionee mwenyewe.