Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

huyu ndio anashika namba moja kwa sumu kali zaidi...saw scaled viper
 
Co
Mkuu. Black mamba na Cobra mafia wakikutana face to face nani anasurrender kwake?
Cobra cha mtoto mkuu, kwanza hana kasi, ukimlinganisha na Koboko, halafu Cobra mwisho wa kushambulia anagonga si zaidi ya mara kumi, mpaka ku-genereate sumu nyingine. Koboko yeye ni mwendo mdundo hata akute kundi la ng'ombe mia, ni ndani ya nusu saa tu kisha maliza mchezo
 
Aisee , we unamzungumzia kifutu(viper) sio koboko
 

Nafikiri unazumzia nyoka aina cobra sio mamba
 
https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjACegQICBAB&usg=AOvVaw3CXaXJXspJGlvrWHpGHbx_. Soma hapo ujiridhishe mwenyewe
 
Nafikiri unazumzia nyoka aina cobra sio mamba
Huyo nyoka akimuona mtu anaanza kumkimbiza bado hajatokea duniani na bado hajazaliwa Hakuna nyoka mwenye stamala ya kumfuata mtu na kumkimbiza shujaa huyo nyoka bado hajatokea


Mamba akikuona unamfuata anasepa kabla hujamkaribia


Spitting cobra akikuona unamfuata anasimamisha shingo lake na kutunisha kukutisha ukiwa mbishi anakurushia

King cobra ,Mozambique cobra ukimfuata kumsumbua hutunisha shingo yake na wala hakukimbizi mpaka umzibe njia atakufuata aku push back


Hizi ndio fact sifa zaidi ya hapo porojo


Huyo shujaa Anayekimbiza watu ukimpata nidai million 5


Blac
 
Hapa tunaona king cobra kaingia choo cha kike,alijaribu kumla sawaka mdogo,akamgonga nyuma ya kichwa,chatu nae akamyonga wote wakafa chatu alikufa kwa sumu kali na cobra naee alikufa kwa kukosa hewa.
Hakuna King cobra hapo
 
Sehemu yoyote yenye nyoka wengi fuga nguchiro. Nyoka wote watakimbia. Huyo black mamba sijui mavi ya nini! Kwa nguchiro anakuwa menu swafiii. Na kiboko ya nyoka wotee ukindoa chatu wakubwa ni mnyama anyeitwa honey bager. Anayelijuwa jina lake kwa kiswahili atuambie. Honey bager hatari sana. Black mamba. Cobra akikutana na huyu mdudu anatafuta njia nyingine.
 
Aisee , we unamzungumzia kifutu(viper) sio koboko
Mkuu koboko hana sifa mnazompa hana


Tena koboko hapendi usumbufu ,bughudha


Koboko mbaya ni yule hujamuona ukapita karibu naye zero distance zaidi ya hapo koboko hana madhara
 
Mh! Chai hii
 

NYEGERE.
 
Mkuu koboko hana sifa mnazompa hana


Tena koboko hapendi usumbufu ,bughudha


Koboko mbaya ni yule hujamuona ukapita karibu naye zero distance zaidi ya hapo koboko hana madhara
https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjACegQICBAB&usg=AOvVaw3CXaXJXspJGlvrWHpGHbx_
Mkuu, Undefine. Link hiyo hapo jisomee mwenyewe, usibishe bila fact au data.

"During the threat display, any sudden movement by the intruder may provoke the mamba into a series of rapid strikes leading to severe envenomation.[25]"
hivyo ndivyo watafiti wanavyomsema, sasa wewe sijui unamzungumzia Koboko wa wapi.
 
Hahaha mkuu huyo Mvuta bangi ni kiburi hatari ,akila mmea hua apendi kelele kabisa sasa ukijipendekeza anga zake lalazima akuzingue tu
 
Enzi hizo nilisikia wakisema Nyoka anayewika sasa ukitaka kumuua eti ubebe Sufuria kubwa lenye uji wa Moto sijui kama ndio huyu au laaa
Hizi story za kale huwa zina ukweli na zina mafunzo makubwa,kwamba ukimuona koboko juu ya mti kaa mbali nae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…