Waepuke wanawake masikini

Samahani mkuu unataka mwanamke bikra, mtiifu aliye tayari umtawale, na anayejimudu kiuchumi? All in one?
Sina shida ya kumtawala mwanamke. Tukiheshimiana inatosha. Suala la uchumi inategemea yupo hatua gani kimaisha. Mfano umemchukua kutoka kwao binti wa miaka 18-20 huyu hata asipokua na kipato inaeleweka maana kwa umri huo inawezekana ndio amemaliza shule hivi karibuni tu. Lakini mwanamke wa miaka 25+ hasomi, hana kipato, hakuna chochote cha maana kinachoendelea kwenye maisha yake, huyo hapana
 
Kwahiyo utii wa mwanamke kwako sio ishu sana? Muhimu bikra kama ni umri mdogo, na kama umri mkubwa bikra imeondoka basi ajimudu kiuchumi? Ama vyote bikra anayejimudu kiuchumi?
 
Mwisho imekuja kwenye hoja ninayotaka Uzi wako ungejikita kwenye suala la kuwa wanawake ombaomba tungekuelewa lakini suala kuwa ombaomba halichagui status maana hata ambao wanajiweza pia wanaomba Kajala alimfilisi mume wake japo alikuwa na hela yule aliyefungwa jela na hata huku mtaani ni hivyo mdada ana biashara ya Duka lakini ni still ni ombaomba wapo pia masikini lakini sio ombaomba wameridhika na Hali ya wanaume zao na wanapambana kutoka huko
 
Nakubaliana na wewe hata Mimi Kuna mmoja alifake maisha na akanificha kumbe ana watoto wawili wakati aliniambia ni watoto wa dada yake
 
ngara23 jamaa kazungumzia kwenye mahusiano sio ndoa umeshindwa kumuelewa
 
Hapa umeongea fact kabisa hii hoja utakuja kukuelewa ukishaachwa au kuletewa nyodo na girlfriend wako ikitokea ana mahusiano mengine ambaye kakuzidi kipato
 
Najua ombaomba ni nani na masikini ni nani. Hoja yangu imejikita kwenye masikini. Huyo mwanamke mwenye duka lake ukitaka kubeba jukumu la kumuhudumia huo ni uamuzi wako, ni nyongeza tu. Infact, hata kama mwanamke ana kipato linapokuja suala la ku-maintain mahusiano lazima hela itakutoka.

Lakini asiyekua na kipato akishakuja tu kwenye maisha yako, hata kama asipokuomba chochote utajiona unahitajika kumtoa kwenye hali aliyokua nayo. Hapo ndipo unajikuta umejiongezea mzigo
 
Kuomba omba ni tabia ya mtu binafsi haihusiani na hali ya uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…