Waepuke wanawake masikini

Tulia, vuta pumzi ndefu, kunywa maji. Presha ishuke halafu tuendelee na mjadala. Huwa sipendi kujadiliana kitu chochote na mtu ambaye hana utulivu wa akili kwa muda huo.
 
Hela ya kuishi maisha ya standard nzuri ipo mdogo angu. Hivyo ulivyovitaja vyote ni cheap sana kwa hatua ya maisha niliyopo kwa sasa. Chuma cha mjerumani ninachosukuma barabarani service yake moja tu ni hela yako ya kula sio chini ya miezi 6,kweli ndio nianze kufikiria wine and pussy.
 
Kinywaji ulichokunywa leo usirudie tena kunywa siku nyingine
 
Umaskini ni hali ya kiuchumi. Kuombaomba, kudanga, kunachochewa na umaskini lakini zaidi ni tabia tu. Wadada maskini wawajibikaji na waelewa wapo wengi tu. Halafu mwanamke maskini akikupiga vizinga na wewe ukapigika vizinga mbona sasa hapo na wewe mwenyewe unakua umekosea. Ndo u simp wenyewe huo. Mwambie ukweli. Kama siyo muelewa basi hiyo iwe ndo sababu ya kuachana. Easy.
 
Muwe mnaelewa mada jamani. Substitution ya masikini sio tajiri. Hakuna popote nilipoandika watu waingie kwenye mahusiano sakiwa matajiri. Mtu aweze tu hata kumudu mahitaji yake ya msingi, ni sawa
 
Unajua suala sio kukupiga vizinga tu, suala ni kwa sababu tayari yupo kwenye maisha yako utajiona unawajibika kubadilisha hali yake. Hapo ndipo unakua umeongeza liability kwenye maisha yako especially kama bado upo kwenye building stage. Mwanamke masikini atakupunguzia kasi.

Unajua familia za matajiri sio wajinga kuzingatia hali za kiuchumi upande wa wenza wa watoto kwanza kabla ya kutoa ruhusa watoto wao kuoana. Hauwezi kuona tajiri anakubali mtoto wake kuoa au kuolewa kwenye familia masikini

Kwa hali ya sasa suala la ku-elevate maisha ya mwanamke libebwe tu na wazazi wake au ndugu zake. Vinginevyo awe mke rasmi kwanza.
 
Utata kwenye uzi wake upo kwenye matumizi ya neno maskini. Kumbe anayezungumziwa ni aina ya mwanamke maskini. Ukitafakari zaidi pia unaona kwamba kinachozungumziwa hapa ni tabia. Ambazo hizo tabia wanazo women wanaojiweza pia.
 
Utata kwenye uzi wake upo kwenye matumizi ya neno maskini. Kumbe anayezungumziwa ni aina ya mwanamke maskini. Ukitafakari zaidi pia unaona kwamba kinachozungumziwa hapa ni tabia. Ambazo hizo tabia wanazo women wanaojiweza pia.
Nimezungumzia umasikini kama umasikini hakuna popote nilipotaja tabia zingine. Point yangu ni kwamba masikini hana tangible output anayokuja kuchangia kwenye mahusiano. Yeye anakuja ku-consume tu. That is liability.

Masuala mengine mengine kama peace of mind, emotional support n.k ni subjective. Hakuna guarantee kwamba utayapata kwa masikini au mwenye kipato
 
Hakuna popote nilipoandika neno tajiri kwenye post. Umasikini niliomaanisha ni kushindwa hata kumudu mahitaji ya msingi bila kuwa na sababu yoyote ambayo ipo nje ya uwezo wako
Point yangu ni kwamba masikini hana tangible output anayokuja kuchangia kwenye mahusiano.
Sema maskini asiye muwajibikaji ndo hana "tangible output" ya kuchangia kwenye mahusiano. Wapo maskini wengi ambao ni productive, Ila bado unaweza ukawaita maskini kwa vigezo vingine vya umaskini. Umefafanua kwamba unapozungumzia umaskini unazungumzia uwezo wa mwanamke kumudu mahitaji yake ya msingi. Sasa mwanamke wa namna hiyo mbona bado ni maskini na anytime atahitaji msaada kwa mambo mengi sana tu.
 
Kabisaaa
 
Live isee, inatakiwa kudate na demu mwenye mishe hata kama anauza mihogo kuliko hawa kupe wapaka wanja, sema shida wanaojishughulisha wengi ni singke maza ambao wamekuja kushtuka after begoting
Mbombo ngafu, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu hata tajiri anaweza kuhitaji msaada. Mwenye kipato tayari anajiweza kwa mahitaji ya muhimu. Haimaanishi kwamba hastaili kusaidiwa. Lakini huyu msaada unaompa ni kumsogeza mbele. Tofauti na asiye na kipato huyu hata kusimama tu hawezi kwaiyo unamnyanyua. Huo ni mzigo mkubwa zaidi.

Mfano umekutana na mwanamke let say ana miaka 25. Hasomi, hana kipato wala chochote kinachoendelea kwenye maisha yake. Huyu anawezaje kuwa productive kwako
 
Comment bora kabisa hii na ya kufungia uzi.
πŸ“
 
Nakubalii umepita sehemu nyingi na umeona mengi.
Em wasanue hawa wadogo na watoto zako hapa jamviniii.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Shuhuda tu humu, Aloooh.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ zama zimebadilikaa.
 
πŸ“πŸ“πŸ“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…