Wadudu na wanyama wakifa huwa wanaenda wapi?

Kama jehanamu na mbinguni papo; wanyama, ndege, wadudu wanaokufa/ kuchinjwa huwa wanaenda wapi?

Leteni majibu​
Warumi 8 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁹ Kwa maana viumbe vyote pia vinatazamia kwa shauku nyingi kufunuliwa kwa wana wa Mungu.
²⁰ Kwa maana viumbe vyote pia vilitiishwa chini ya ubatili; si kwa hiari yake, ila kwa sababu yake yeye atiyevitiisha katika tumaini;
²¹ kwa kuwa viumbe vyenyewe navyo vitawekwa huru na kutolewa katika utumwa wa uharibifu, hata viingie katika uhuru wa utukufu wa watoto wa Mungu.
²² Kwa maana twajua ya kuwa viumbe vyote pia vinaugua pamoja, navyo vina utungu pamoja hata sasa.
 
Kama una amini adam kafa, na MUNGU ndiye aliyewaumba na akasema atamponda nyoka kichwa na ni unabii wa YESU kuja....

kwa nini useme hakuna mwisho?
Naamini kafa sabab angekuwa hajafa angekwepo mpaka Leo, mafarao wamekufa pia, Mansa Musa amekufa pia, babu wa babu yangu amekufa pia. Kama unamaanisha mwisho wa maisha Yao nakubaliana nawewe ila kama unamaanisha mwisho wa dunia nikwambie tu utasubiri sana.
 
labda nifafanue...... Ninapo sema dunia mimi namaanisha watu wanaokaa, na sio dunia planet mkuu!
 
Ukiwa hushiriki ibada alafu ukafariki, siku ndugu na jamaa na marafiki wakienda kuomba msaada wa kuzikwa kwa viongozi wa dini wanakususia kana kwamba wao ndio wamekamata funguo za peponi.

Upuuuzi kabisa huu....! Sema ni vile tu ! Ila nachojua hakuna mbinguni sijui peponi...ukifa umeshazima babu, biashara yako hapa Duniani imesha ni mwendo wa kufukiwa tu
 
Warumi 8 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁹ Kwa maana viumbe vyote pia vinatazamia kwa shauku nyingi kufunuliwa kwa wana wa Mungu.
²⁰ Kwa maana viumbe vyote pia vilitiishwa chini ya ubatili; si kwa hiari yake, ila kwa sababu yake yeye atiyevitiisha katika tumaini;
²¹ kwa kuwa viumbe vyenyewe navyo vitawekwa huru na kutolewa katika utumwa wa uharibifu, hata viingie katika uhuru wa utukufu wa watoto wa Mungu.
²² Kwa maana twajua ya kuwa viumbe vyote pia vinaugua pamoja, navyo vina utungu pamoja hata sasa.
Hicho kitabu kimeandikwa na nani?
 
Back
Top Bottom