Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 399
- 606
Binadam ndo tumepewa privilege zaid kwenye uumbaji ona tu tofaut zetu na wanyama wao inasemekana watakuja tu kutoa ushahidi kwa mujibu wa waislamu kuku ataongea sku hiyo kama ulifanya kosa mbele yake