Ebu njoo unipe elimuKwani mleta mada hukusoma ..... FoodChain?
hapana madam, kwanza swali halina mantiki na wokovuHii mistari ya bible itakuponza humu dgo
Haya maneno uliyasikia wapi?Mungu anasema: atakufufueni kama alivyokuumba kwenye matumbo ya mama zenu.
Leo siku ya tatu sijala, una elfu kumi ya karibu hapo?hapana madam, kwanza swali halina mantiki na wokovu
Hayo ume conclude weweKwa hiyo wanaojenga mahema na mabanda huko mtaani, darasani walikuwa ni mambululaz?
Hahahahaaaaa nazungumzia anayekufa mkuu!Kuku unayemla anarudije mavumbini?
Umenena vyema mkuu!Wanyama wanarudi mavumbini, wale wanaochinjwa na kuliwa humrutubisha mwanadamu na huyo mwanadamu hurudi mavumbini
Acha siasa atafufuliwa kutoka wapi kwenda wapi?Hata huyo kuku / ng'ombe unayemla Kila siku basi atafufuliwa kama alivyoumbwa mwanzo kabla hujamla
Kuku uliyemchinja ni kitoweo, ila waliokufa kwa magonjwa hugeuka mavumbi tu.Kuku unayemla anarudije mavumbini?
Tangu nijue ni hadithi za sungura nina amani moyoni.Kama jehanamu na mbinguni papo; wanyama, ndege, wadudu wanaokufa/ kuchinjwa huwa wanaenda wapi?
Leteni majibu
Hahahahaaa imeandikwa mwanadamu hataishi kwa mkate tu, bali kwa kila neno asemalo MUNGULeo siku ya tatu sijala, una elfu kumi ya karibu hapo?
Kitoweo yeye hafi?Kuku uliyemchinja ni kitoweo, ila waliokufa kwa magonjwa hugeuka mavumbi tu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Halafu anafundishaga na tuitionKwani mleta mada hukusoma ..... FoodChain?
Atheists wana matatizo ya afya za akili, kwanini wawashwe washwe na pilipili wasizokula?Kwa akili zenu,siku hizi mnajifanya msioamini uwepo wa Mungu,ima kwa akili za kuoga au kutokusoma/kujifunza.
Kama alikuumba wewe kutoka kwenye shahawa za baba yako,hata ukiliwa na simba simba porini hashindwi kukufufua ukiwa kama alivyokuumba mwanzo.
Mungu anasema: atakufufueni kama alivyokuumba kwenye matumbo ya mama zenu.
Hata huyo kuku / ng'ombe unayemla Kila siku basi atafufuliwa kama alivyoumbwa mwanzo kabla hujamla
Kwani kuku ametenda kosa Gani hadi ahukumiwe?Hahaha
Ishu za kiimani/kiroho zisichanganywe na utashi binafsi wa mtu, pana ushirika gani kati ya mafuta na maji?Kwa akili zenu,siku hizi mnajifanya msioamini uwepo wa Mungu,ima kwa akili za kuoga au kutokusoma/kujifunza.
Kama alikuumba wewe kutoka kwenye shahawa za baba yako,hata ukiliwa na simba simba porini hashindwi kukufufua ukiwa kama alivyokuumba mwanzo.
Mungu anasema: atakufufueni kama alivyokuumba kwenye matumbo ya mama zenu.
Hata huyo kuku / ng'ombe unayemla Kila siku basi atafufuliwa kama alivyoumbwa mwanzo kabla hujamla
Kama hajatenda kosa basi afufuliwe kwa ajili ya kwenda mbinguniKwani kuku ametenda kosa Gani hadi ahukumiwe?
Hayo maneno yameandikwa takribani miaka 2000 iliyopita au Yesu kalala usingiziUfunuo 21:1
.....kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya.......
Na soon YESU ANAKUJA!