Wadudu na wanyama wakifa huwa wanaenda wapi?

Wadudu na wanyama wakifa huwa wanaenda wapi?

Tumeaminishwa roho kuna sehemu inaenda
mtu ni roho mwenye nafsi anaishi kwenye jumba liitwalo mwili. Kifo ni roho kutengana na mwili. Mtu huyo hutoka katika ulimwengu wa mwili na damu na kuingia katika ulimwengu wa roho.

Umeshawahi kujiuliza kuwa unapokuwa tumelala usingizi mzito sana unakuwa uko wapi?
 
Kwa akili zenu,siku hizi mnajifanya msioamini uwepo wa Mungu,ima kwa akili za kuoga au kutokusoma/kujifunza.
Kama alikuumba wewe kutoka kwenye shahawa za baba yako,hata ukiliwa na simba simba porini hashindwi kukufufua ukiwa kama alivyokuumba mwanzo.

Mungu anasema: atakufufueni kama alivyokuumba kwenye matumbo ya mama zenu.

Hata huyo kuku / ng'ombe unayemla Kila siku basi atafufuliwa kama alivyoumbwa mwanzo kabla hujamla
Kuku/ Ng'ombe atafufuliwa?
Ili waende wapi hao wanyama?
 
Hata wewe binadamu ni kitoweo cha baadhi ya organisms na viumbe kama mbu na viruses.

Mbona mbu akikugeuza kitoweo ukifa Kwa malaria unaenda mbinguni au motoni.

Jibu hapa kuku ukimla anaenda wapi ?
Unakula roho ya kuku au unakula mwili wa kuku?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Huwa wanagawanywa kwa makundi mbalimbali..kama funza, vyura, mende na tandu hupelekwa polisi, jeshi na field force..sijajua vizuri fisi na kenge nani anaenda Lumumba na mwingine magogoni
 
mtu ni roho mwenye nafsi anaishi kwenye jumba liitwalo mwili. Kifo ni roho kutengana na mwili. Mtu huyo hutoka katika ulimwengu wa mwili na damu na kuingia katika ulimwengu wa roho.

Umeshawahi kujiuliza kuwa unapokuwa tumelala usingizi mzito sana unakuwa uko wapi?
Ni sawa sawa na kulipaki gari ili baadaye uendelee na safari.
 
Kupitia wewe ndo anakuwa amerudi mavumbini kwahiyo tumbo lako ndo kaburi lake anakuwa anasubiri hukumu tu hapo😎nimeeleweka ee😁
Anasubiri hukumu kutoka kwa nani?
 
Hakuna mwenye akili anaetoa sadaka kanisani, ni wajinga wenzao hao. Wenye akili sadaka zao wanapeleka kwa walengwa moja kwa moja

images-5.jpeg

Kwenye picha hapo huyo mzee anaitwa Hans Macha. Ndie mtu mweusi mwenye share nyingi kuliko wote crdb.

Kanisani huwa anatoa sadaka mamilioni ya pesa .

Na ameshawai kutoa mchango wa milioni 500 pale kanisani KKKT kijitonyama.

Kwa hoja yako, je hans macha hana akili ndio maana anatoa sadaka kanisani ?
 
View attachment 3672599

Angetumia ata kujenga kiwanda cha magari, uchimbaji wa mafuta, uwekezaji wa viwanda vya kutengeneza ndege,vifaru, vipuli n.k
Nadhani mchangiaji alikuwa anamaanisha hiyo akili.​
 
Maisha ni mzunguko kati ya living na non living systems.
Viumbe hai wakifa wanakuwa incorporated kwenye non living system ambako wanageuzwa kuwa chakul che viumbe hai na hivyo kurudi kwenye living system.

Pepo na Jehanum ni ‘fairy tales’.
 
Hahahahahaaaaaaaa naomba niishie hapa.... karibu hapa KATORO SDA tupate chakula cha KIROHO ambacho hakipandi bei mkuu.
Viwanda havijengwi kwa mambo ya kiroho, huo muda unaopoteza hapo ni bora uchukue sururu ukapige mawe yawe kokoto.
 
Back
Top Bottom