Wadudu na wanyama wakifa huwa wanaenda wapi?

Wadudu na wanyama wakifa huwa wanaenda wapi?

Kwa akili zenu,siku hizi mnajifanya msioamini uwepo wa Mungu,ima kwa akili za kuoga au kutokusoma/kujifunza.
Kama alikuumba wewe kutoka kwenye shahawa za baba yako,hata ukiliwa na simba simba porini hashindwi kukufufua ukiwa kama alivyokuumba mwanzo.

Mungu anasema: atakufufueni kama alivyokuumba kwenye matumbo ya mama zenu.

Hata huyo kuku / ng'ombe unayemla Kila siku basi atafufuliwa kama alivyoumbwa mwanzo kabla hujamla
Lini?
 
Kitu chochote chenye pumzi ....binadamu , wanyama, ndege, wadudu n.k ! Once kikifa, biashara imeishia pale ..... haijalilishi kimezikwa, fukiwa, chomwa moto ama kutelekezwa porini.....

Mambo ya peponi, mbinguni sijui malaika hakuna hio mambo ..... ukifa unaoza mzee kazi imeisha wanazaliwa wengine.......

Hizi dini hizi, wacha nisiongee sana
Ukiwa hushiriki ibada alafu ukafariki, siku ndugu na jamaa na marafiki wakienda kuomba msaada wa kuzikwa kwa viongozi wa dini wanakususia kana kwamba wao ndio wamekamata funguo za peponi.
 
Kuku uliyemchinja ni kitoweo, ila waliokufa kwa magonjwa hugeuka mavumbi tu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hata wewe binadamu ni kitoweo cha baadhi ya organisms na viumbe kama mbu na viruses.

Mbona mbu akikugeuza kitoweo ukifa Kwa malaria unaenda mbinguni au motoni.


Jibu hapa kuku ukimla anaenda wapi ?
 
Muda? Fanya imagination tu Adam kafa lini halafu jiulize nae bado anasubiri siku ya mwisho ifike!? Acha ubinafsi, amini Kuna siku itafika huko mbele ya safari na sisi tutaonekana ni kama tulikufa Enzi za Adam kwa kizaz kitakachokwepo miaka hiyo.
Kama una amini adam kafa, na MUNGU ndiye aliyewaumba na akasema atamponda nyoka kichwa na ni unabii wa YESU kuja....

kwa nini useme hakuna mwisho?
 
Back
Top Bottom