Wadudu na wanyama wakifa huwa wanaenda wapi?

Wadudu na wanyama wakifa huwa wanaenda wapi?

Dini zimetusaidia sana kutuweka kwenye amani hapa duniani, tofauti na hapo hali ilikuwa mbaya sana, hata sheria nyingi zimetengenezwa kutokana na vitabu vya dini.

Jumamosi njema!.
Sio kweli, hakuna uthibitisho dini kusaidia kuleta amani duniani. Angalia maeneo yenye vita kwa sasa 90% watu wake ni washika dini sana. Sudan, Somalia, DRC, Israel n.k

Viongozi wanaoanzisha vita kiholela kama Trump, Putin n.k ni watu wa kidini sana.
 
Tumia fuvu lako kuthibitisha wameumbwa badala ya kupayuka hovyo,
Zaidi tumia fuvu lako kuthibitisha wameumbwa na mungu wa WaIsrael aliyeanza kuabudiwa huko Israel miaka 4000 iliyopita.
Mungu wangu si wa waisraeli wala wabudha, ni Mungu wangu mwenyewe.
Mwili nyumba akili kisoda, acha kukaza fuvu kutaka kutafuniwa kila kitu, tumia vizuri fuvu lako kuelimika si kubisha bila mantiki.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Wewe huna mungu wako mwenyewe, mungu uliye naye ambaye unalazimisha ndiye ameumba sisimizi na unayetishia naye watu kuwatia hofu ni mungu aliyetokana na hadithi za miungu wa Mashariki ya kati.
 
Hivi unajilinganishaje na kuku mkuu?
Nitakujibu swali lako
Binadamu anautashi na ule utashi ndo unaomfanya hata anapokufa anabaki kichwan mwa watu xax kuku atakumbukwaje?
Maana yangu kuku anapotea kama hewa
Mkuu wew unavivuli viwili kimoja lazima kipotee kingine kibaki wanyama wanakivuli kimoja kinachopotea
Tatizo binadamu wanapenda kujipa umuhimu kuliko viumbe wengine, ata kwenye umoja wa ndege, mbuzi ,mimea n.k na wao wanajipa umuhimu hivyo hivyo kuliko sisi.
 
Dini zimetusaidia sana kutuweka kwenye amani hapa duniani, tofauti na hapo hali ilikuwa mbaya sana, hata sheria nyingi zimetengenezwa kutokana na vitabu vya dini.

Jumamosi njema!.
Uko sahihi, dini imekuja kuwaletea hofu binadamu ili waweze kutenda mema na kutii mamlaka huku wakiaminishwa/kutishiwa mambo ya kiama kama wataishi bila kujali utu.
Ndio maana mtu anayeshika dini sana, ni rahisi kumtawala kupitia dini yake.
 
Back
Top Bottom