Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 1,653
- 3,244
Nitapiga mkuu ila MUNGU kwanza...Viwanda havijengwi kwa mambo ya kiroho, huo muda unaopoteza hapo ni bora uchukue sururu ukapige mawe yawe kokoto.
Nitapiga mkuu ila MUNGU kwanza...Viwanda havijengwi kwa mambo ya kiroho, huo muda unaopoteza hapo ni bora uchukue sururu ukapige mawe yawe kokoto.
Hata Jeff Epstein alikuwa tajiri lakini mambo aliyokuwa anafanya yalifanya aonekane Hana akili sawasawa. Ndio hata huyo wako nae Hana akiliView attachment 3672599
Kwenye picha hapo huyo mzee anaitwa Hans Macha. Ndie mtu mweusi mwenye share nyingi kuliko wote crdb.
Kanisani huwa anatoa sadaka mamilioni ya pesa .
Na ameshawai kutoa mchango wa milioni 500 pale kanisani KKKT kijitonyama.
Kwa hoja yako, je hans macha hana akili ndio maana anatoa sadaka kanisani ?
Daah😂😂Kuku unayemla anarudije mavumbini?
tHi kwakupitia mimi mlaji pale ntakaporudi mavumbini na nikienda peponi naenda nae na nikiwa wa motoni na yeye anakuwa wa motoni kupitia mimi.😀😀Kuku unayemla anarudije mavumbini?
Kwa hili jibu, utakuwa hujala mchana; ebu nenda hapo kwa mama jeni akupe vitumbua vya 300 ule kwanza.tHi kwakupitia mimi mlaji pale ntakaporudi mavumbini na nikienda peponi naenda nae na nikiwa wa motoni na yeye anakuwa wa motoni kupitia mimi.😀😀
Nna kitita cha mia 2 hapa niongezee hiyo 100 basiKwa hili jibu, utakuwa hujala mchana; ebu nenda hapo kwa mama jeni akupe vitumbua vya 300 ule kwanza.
Hutoishi kwa vitumbua tu, bali utaishi kwa neno litokalo kwa equation xNna kitita cha mia 2 hapa niongezee hiyo 100 basi
Huna hela usinichoshe na mahubiri ya mchongo 😀😀Hutoishi kwa vitumbua tu, bali utaishi kwa neno litokalo kwa equation x
Kwa aliyemuumbaAnasubiri hukumu kutoka kwa nani?
KUmbe hadi kuku wanahukumiwa kwa dhambi😀Kupitia wewe ndo anakuwa amerudi mavumbini kwahiyo tumbo lako ndo kaburi lake anakuwa anasubiri hukumu tu hapo😎nimeeleweka ee😁
Wewe meno mavumbini unalielewa vipiKuku unayemla anarudije mavumbini?
kaburini/ udongoniWewe meno mavumbini unalielewa vipi
Jibu la kisayansi limejitoshelezaKisayansi, wanyama wanapokufa, nishati na miili yao inarudi kwenye mfumo wa ikolojia. Miili yao huoza, inakuwa mbolea, na kurutubisha ardhi ili kusaidia mimea na viumbe vingine kuishi. Hakuna ushahidi wa kisayansi unaoonyesha uwepo wa ufahamu au roho baada ya kifo.
Mitazamo ya Dini za Mashariki (Uhindu na Ubuda)
Katika dini hizi, wanyama, ndege, na wadudu wanaenda kwenye mzunguko wa kuzaliwa upya (Reincarnation au Samsara).
Kitabu cha Isaya na Ufunuo kinataja kuwepo kwa wanyama (kama simba, kondoo, na farasi) katika "Mbingu Mpya na Nchi Mpya." Wataalamu wengi wa Biblia wanaamini kuwa Mungu atawaumba wanyama wapya mbinguni au atafufua viumbe vyake kwa utukufu wake, lakini hakuna adhabu ya jehanamu kwao.
Katika Uislamu, wanyama hawatakuwa na hatima ya kwenda Peponi (Mbinguni) au Motoni (Jehanamu) kama walivyo wanadamu.
Ninakula mwili wa kukuUnakula roho ya kuku au unakula mwili wa kuku?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Basi ushapata majibu mkuu.Ninakula mwili wa kuku
Usiongee sana mkuu ila ukweli ndio huo ukifa umekufa na ndio mwisho wa maisha yako hayo mengine hakuna aliewahi kuthibitisha ni imani tu za watu.Kitu chochote chenye pumzi ....binadamu , wanyama, ndege, wadudu n.k ! Once kikifa, biashara imeishia pale ..... haijalilishi kimezikwa, fukiwa, chomwa moto ama kutelekezwa porini.....
Mambo ya peponi, mbinguni sijui malaika hakuna hio mambo ..... ukifa unaoza mzee kazi imeisha wanazaliwa wengine.......
Hizi dini hizi, wacha nisiongee sana
Wanaenda walipo kuwepo kabla hawajazaliwaKama jehanamu na mbinguni papo; wanyama, ndege, wadudu wanaokufa/ kuchinjwa huwa wanaenda wapi?
Leteni majibu
Ukishamla huendi chooni? Hapo ndy anarudi mavumbiniKuku unayemla anarudije mavumbini?