Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,264
- 16,228
Rudia kusoma ulichoandika mkuu.Kitoweo yeye hadi?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Rudia kusoma ulichoandika mkuu.Kitoweo yeye hadi?
Imeandikwa siku za mwisho kutakuwa na dhihaka.... kuhusu kuja kwa YESU kwa hiyo endelea kutimiza unabii tu mkuuHayo maneno yameandikwa takribani miaka 2000 iliyopita au Yesu kalala usingizi
Yes, na hawarudi wao sasa wenyewe wanaishia kwenye miili yetu, pengine mifupa yao ndio inatupwa kwenye ardhiKwa hiyo wale Tunaokula hawarudi mvumbini wanatusiburi kwanza Sisi tulio wala?
Mwisho wa hao wanyama sasa, sio BinadamuNa mavumbini ni ardhini, na hapo ndipo mwisho.
Kama hakuna mwenye jibu basi upuuzi wote wa dini ufutwe kwenye akili za watu. Wachina walishang'amua.Ngoja Psalm_27 ajibu hapa mtu wa verses huyu
Unaamini wewe ulikuwa sokwe?Tangu nijue ni hadithi za sungura nina amani moyoni.
Mbona moyo wako ni mgumu katika kutoa sadaka?Hahahahaaa imeandikwa mwanadamu hataishi kwa mkate tu, bali kwa kila neno asemalo MUNGU
Kazi ipo....Kama hakuna mwenye jibu basi upuuzi wote wa dini ufutwe kwenye akili za watu. Wachina walishang'amua.
Na binadamu uenda wapi?Wanaenda Tumboni kasoro wasio liwa tu
Hahahahahaaaaaa imeandikwa "iweni na akili kama nyoka"Mbona moyo wako ni mgumu katika kutoa sadaka?
Au tumeaminishwa ili tusiogope kifo?Kitu chochote chenye pumzi ....binadamu , wanyama, ndege, wadudu n.k ! Once kikifa, biashara imeishia pale ..... haijalilishi kimezikwa, fukiwa, chomwa moto ama kutelekezwa porini.....
Mambo ya peponi, mbinguni sijui malaika hakuna hio mambo ..... ukifa unaoza mzee kazi imeisha wanazaliwa wengine.......
Hizi dini hizi, wacha nisiongee sana
Wanadamu wasio mwamini Yesu na wadudu wote sehemu yao ni moja.Kama jehanamu na mbinguni papo; wanyama, ndege, wadudu wanaokufa/ kuchinjwa huwa wanaenda wapi?
Leteni majibu
Mambo ya kuvuta hewa chafu za magari mijini pamoja na makelele ya hapa na pale, nimewaachia nyie mpambane nazo.Aisee tokea uhamie kijijini umekua mwanafilosofia hii ni kwa sababu uko mbali na distractions za mjini, ngoja nifate nyayo zako kiongozi. Usivuke mpaka tu ukaanza kutafuta laana ya Muumba mana wanaanzaga hivi.
Au tumeaminishwa ili tusiogope kifo?
Na ndio wanaowapiga wasomi na digrii zaoNilifanya utafiti wangu usio rasmi, wale vijana woote walikuwa mambululaz drasani ndio huwa Watumishi at the end
Imeandikwa na nai?Hahahahahaaaaaa imeandikwa "iweni na akili kama nyoka"
Nani amesema?Wanadamu wasio mwamini Yesu na wadudu wote sehemu yao ni moja.