Wadau wa burudani yupo wapi Mc Babu Ayubu

Wadau wa burudani yupo wapi Mc Babu Ayubu

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,158
Reaction score
11,258
Wadau wa burudani nadhani mnamkumbuka uyu mtu nimesikiaa wimbo wa kikao cha dharula wa prof jay nikakumbuka hiki kipaji kilichojizolea umarufu kwa kuiga sauti za watu mashuhuri mbali mbali hapa mjini hasa sauti ya mzee wetu afande tibaigana

Kajificha wapi uyu mtanzania mwenzetu.
 
naona 2014 ndio mwisho ukisearch google
 
Back
Top Bottom