Wadau na wajasiriamali, naomba kujuzwa kuhusu Mr. Kuku Farms na uhalisia wa aina ile ya biashara

"Watu wana hela ila hawajui wawekeze wapi?"

Huu msemo mnadanganyana sana tu.

Hakuna mtu mwenye hela asijue pa kuwekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Watu wana hela ila hawajui wawekeze wapi?"

Huu msemo mnadanganyana sana tu.

Hakuna mtu mwenye hela asijue pa kuwekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu Ni ukweli mchungu Kuna watu Wana ela ila hawajajua wawekeze sector gani haswa wanaoshika pesa za wastani kwanzia million 10- 50 hapo wengi hawajui wawekeze katika sector ipi au biashara zipi unajua kwangu Mimi haingii akilini kuchukua million 10 zangu nimpe Mr kuku eti yeye afuge halafu Mimi nifate faida tu kumbuka Kila biashara Ina pande mbili faida na hasara ikitokea mr kuku akapata hasara basi zile million kumi zangu zikawa zimeenda hakuna nitakalo jifunza Ni heri hiyo hela nifungue sehemu yangu mwenyewe nifuge kuku nijionee mwenyewe faida na hasara za uufugaji wa kuku na changamoto zake itaikitokea nimepata hasara ya million yote 10 Nina kuwa nimejifunza kitu na hii ndio tunaita ujasiriamali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huu mradi akisema soko lake limeyumba sababu ya Corona... Hivyo kama taasisi wameingia hasara inakuaje? Cause it makes sense
 
Kwa huu mradi akisema soko lake limeyumba sababu ya Corona... Hivyo kama taasisi wameingia hasara inakuaje? Cause it makes sense
HaaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€
Hii Point Noted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…