New Designer
JF-Expert Member
- Aug 8, 2025
- 470
- 761
- Thread starter
- #61
kwahiyo unaniabishaHapana sitaki
kwahiyo unaniabishaHapana sitaki
KumbeEnhee nimekuja kuchangamsha uzi
Ya kwenda wapi tena Mubaba ?Nafasi hiyo Chica!
Kivipi?kwahiyo unaniabisha
Enhee si unaona mwenyeweKumbe
I seeEnhee si unaona mwenyewe
Mimi najifurahisha tu mkuu wangu hapaBado PM haijapata message? Wewe bhana mwanamke hatafutwi hivyo inaonekana uko soft sana Kijana 😂
😂😂😂 I'd za kike zote zina react kwa kicheko kuonyesha wewe ni kituko. Be a Man KijanaMimi najifurahisha tu mkuu wangu hapa
Huo ni mtizamo wako mkuu wangu haya ni mambo madogo ya kawaida😂😂😂 I'd za kike zote zina react kwa kicheko kuonyesha wewe ni kituko. Be a Man Kijana
Mambo madogo unapoteza muda wote huu hebu kuwa serious basi na unawaambia wakina Dada ni Mfanyabiashara wa kimataifa na Mhandisi 😆Huo ni mtizamo wako mkuu wangu haya ni mambo madogo ya kawaida
Huu pia ni mtizamo wako mkuu wangu nipo free now sina muda ninaopotezaMambo madogo unapoteza muda wote huu hebu kuwa serious basi na unawaambia wakina Dada ni Mfanyabiashara wa kimataifa na Mhandisi 😆
Unataka mke wako aniroge 😜Nimesha kucheck PM 😋
Sijaoa mkuu...🙄Unataka mke wako aniroge 😜
Jamani jamani kweli?Sijaoa mkuu...🙄
Humu jukwaani utapoteza tu muda mkuu,wakuu kwema ?
Na mimi natafuta mrembo mpole mwenye hofu ya mungu
Nina 26yr mtanashati na najielewa, mimi ni mkristo location dar es salaam mishe international businessman + Engineer
Ninajua kupika, kufua vizuri 🙏
Age yako mbona ndogo, kuhusu kupeleka sina wasiwasi na hiyo age ila nakuona mtoto bado, hela utakuw nayo kweli maana km vile unajitafutawakuu kwema ?
Na mimi natafuta mrembo mpole mwenye hofu ya mungu
Nina 26yr mtanashati na najielewa, mimi ni mkristo location dar es salaam mishe international businessman + Engineer
Ninajua kupika, kufua vizuri 🙏