Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 2,545
- 3,705
Kila la kheri
Daaah wahenga bwanaAsalamaleko shekhe
Utawalomba sana hawa mademu wa Tandale baada ya kuona mambo ya international ✈️
Mpe connectionKila la kheri
Hizo ni point akiumwa je kwani kila siku anapika 🤣🤣🤣Sasa hiyo sifa ya kujua kupika na kufua kwa mwanaume anaye tafuta mke ni ya kazi gani hapo umeweka
Mrembowakuu kwema ?
Na mimi natafuta mrembo mpole mwenye hofu ya mungu
Nina 26yr mtanashati na najielewa, mimi ni mkristo location dar es salaam mishe international businessman + Engineer
Ninajua kupika, kufua vizuri 🙏
jamaniKila la kheri
Nisaidie mkuu wanguMpe connection
Ni mmoja mkuu wanguMrembo
Mpole
Mcha Mungu unatafuta wadada watatu
Mcheki DemissNisaidie mkuu wangu
Tuanze kupika na kupakuwa mkuu wangu 😂Mwanaume unapika na kufua huyo mrembo anakuja kufanya nn sasa
Ningekuwa nayo ningempaMpe connection
Mkuu mi nimekutakia heri ufanikiwe kwenye hitaji lakojamani
Hongera,Ninajua kupika, kufua vizuri 🙏
😂😂Sasa hiyo sifa ya kujua kupika na kufua kwa mwanaume anaye tafuta mke ni ya kazi gani umeweka hapo
Sindio mkuu wanguHongera,
Kwamba utakuwa unampikia na kumfulia vizuri?
Kwahiyo mkuu we tangu umeoa hujawahi kufua hata kupika?Mwanaume unapika na kufua huyo mrembo anakuja kufanya nn sasa
Anapiga jaramba la kuja kufua chupi za mke wake mtarajiwa Bwashee
Amina mkuu wanguMkuu mi nimekutakia heri ufanikiwe kwenye hitaji lako