Wadada warembo ma single mpo kweli humu ?

Anapiga jaramba la kuja kufua chupi za mke wake mtarajiwa Bwashee
Jamaa tayar ameshajitambulisha mapema kwamba mipaka yake inaweza kuvunjwa,,maana tayar kashasema atakuwa anapika na kufua,kwahiyo wikiend anapewa tu furushi la nguo za kufua
 
Mwamba kaweka sifa ya kipuuzi sana
 
Jamaa tayar ameshajitambulisha mapema kwamba mipaka yake inaweza kuvunjwa,,maana tayar kashasema atakuwa anapika na kufua,kwahiyo wikiend anapewa tu furushi la nguo za kufua
Tatizo li kwapi mkuu wangu sio mahusiano ya ushindani sio mahusiano
 
Hapo Igole si kunamalaya wa kumwaga tu bro na leo ni ijumaa…au kiherehere cha konyagi kinakuchachafya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom