Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,638
Tumia zile mbinu zako za kichawiMnafanyafanyaje mpaka wanakubali muonane? Mi mbona hawataki![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tumia zile mbinu zako za kichawiMnafanyafanyaje mpaka wanakubali muonane? Mi mbona hawataki![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kudhibitishwa nini?Ulidhibitishwa kweli wewe?
Unataka kuthibitisha?jinsia
Hatari sana.Hawa hapa chini wanajitambulisha kama wanawake, lakini matendo yao yanadhihirisha ni wavulana :-
1. moniccca
2. richaabra
3. Miss Natafuta
4. amanda cute
5. I am a girl
wewe je ?/Evelyn salt
Hornet
Ichana
Geniveroz
Dinazarde
Hahaaa
Hahaaaa. Nina uhakika kabisaaa