marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,634
- 3,660
Hahahaaaa I seeNifah kwani siwezi kumtafutia mtu mwingine kazi mtandaoni jamani??
Mbona hili ni la kawaida sana! Heri ya mwaka mpya.
ni nan huyo na wa wapWe unamjua gilesi ?
Hii id inabidi niibadili maana vitoto vinaniona mtoto mwenzao.
Hehe, kama mwenzao kweli je!
Hiki kitoto bwana!!!Nifah kwani siwezi kumtafutia mtu mwingine kazi mtandaoni jamani??
Mbona hili ni la kawaida sana! Heri ya mwaka mpya.
Hii id inabidi niibadili maana vitoto vinaniona mtoto mwenzao.
akubwa will help you to get rid of this problem once and for all.

umenipa assignment ya kukutafutia jina jipya, nimeifanya
sasa kama hulipendi si useme tu 

umenipa assignment ya kukutafutia jina jipya, nimeifanya
sasa kama hulipendi si useme tu
![]()